golden girl
Member
- Jun 19, 2013
- 66
- 2
Serikali ya ccm ikiongozwa na jk ni sawa na nondo mla watu kwa watanzania. Inakuwaje wananchi wa kawaida tunalipa kodi,wazee wanalipa kodi,mwalimu ktk mshahara wake analipa elfu 50( kwa anayeanza kazi) lakini raisi halipi kodi inamana yeye sio mtanzania??? Maswahiba wake ambao ni wafanya biashara wakubwa hawalipi kodi. Licha ya hilo serikali hii inaongoza kwa misamaha ya kodi kwa wawekezaji wa nje mfano buzwagi na baricki............. Kama hiyo haitoshi wameona ni bora makampuni makubwa kutoka nje wasamehewe kulipa kodi ili kodi hiyo ilipwe na watanzania wa hali duni kupitia kodi ya sim za mkononi. ........... Ni sawa na nondo mla watuu
Kwenye nyumba yako mwenyewe unayoishi - je utalipa kodi?Serikali ya ccm ikiongozwa na jk ni sawa na nondo mla watu kwa watanzania. Inakuwaje wananchi wa kawaida tunalipa kodi,wazee wanalipa kodi,mwalimu ktk mshahara wake analipa elfu 50( kwa anayeanza kazi) lakini raisi halipi kodi inamana yeye sio mtanzania??? Maswahiba wake ambao ni wafanya biashara wakubwa hawalipi kodi. Licha ya hilo serikali hii inaongoza kwa misamaha ya kodi kwa wawekezaji wa nje mfano buzwagi na baricki............. Kama hiyo haitoshi wameona ni bora makampuni makubwa kutoka nje wasamehewe kulipa kodi ili kodi hiyo ilipwe na watanzania wa hali duni kupitia kodi ya sim za mkononi. ........... Ni sawa na nondo mla watuu
kwenye nyumba yako mwenyewe unayoishi - je utalipa kodi?
8. Ukinana
Urais si anagombea TASWIRA MWIGULU LAMEK MADELU?
ccm kwa viroja wameshindikana.
Wanyongane hata watoane korodani hawatuhusu hawa majangili na wezi wa rasilimali za taifa...
Imefahamika rasmi chama cha mapinduzi kinatarajia mgawanyiko ambao haukuwahi kutokea katika historia ya chama hicho.
Sababu kuu inaelezwa kuwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa nwaka 2014.
Taarifa zilizopatikana kwa mmoja wa viongozi wa nec taifa zinasema.
Kwa sasa kuna makundi makuu matatu katika chama hali ambayo ni ngumu kuweza kupata suluhu katika uchaguzi.
kundi linaloonekana kuwa na nguvu ni lile linaloongozwa na waziri mstaafu, huku naibu waziri wa mawasiliano akiwa wa tatu nyuma ya waziri wa mambo ya nje.
hali hii inatisha sana uhai wa chama, kwani chama cha upinzani Chadema kinapata Adivanteg kubwaaa! sana
@cc Nape