Ikiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru, tukiwa chini ya utawala wa TANU, hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo. Awamu ya kwanza ilianza vyema, lakini mawazo ya Mwalimu JK Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili, ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.
Ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili, na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha. Nianze na MGOMO WA MADAKTARI, AJALI ZA ZANZIBAR, SUALA LA MUUNGANO,KILIMO n.k vyote vinatabiri kifo cha CCM, kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.
Watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015 ,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!
NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!
Mngeazia na Iramba kwa mwigulu ndio ningeamini mmekuaTatizo letu watanzania ni hodari sana wa kukesha nyuma ya keyboard........wagumu kufanya maamuzi....... Kwa hali hii ccm itatutawala milele mpaka siku tutakayoamua kwa dhati kuiondoa madarakani........ Change ni mimi ni wewe ni sisi twaweza!
Kutona na mchakamcha wa M4C ccm imeoneka kuishiwa sera na wanachofanya ni wamesha kata roho . Kinana ambaye ni mvunaji wa Tembo aliyesomea ndo anakiongoza chama. 2 015 mjia nyeupe kwa cdm2015TZ
wabunge wenyewe kina wenje , lisu , lema & other classless politicians kina SUGU etcl CDM kuchukua nchi watanzania itakuwa ni kama tume JUMP from the oven into the frying pan na kamwe haitakuja kutokea ... tunapenda sana nchi yetu tanzania bila udini na ukanda inawezekana... simply tusichague chadema
Wewe njiwa mtumwa wa Lumumba road,kuna kitu ningetamani nikwambie lakini ninawaheshimu wakubwa wa jukwaa ila iko siku yako nitakupa live bila chenga mtumwa fisadi wewe! Mnabadisha ID kama nguo unayovaa kwa sababu ya utumwa tu! Pole sana! 2015 tuombe uzima tu kama mafisadi hajaambulia manyoa tu!
wabunge wenyewe kina wenje , lisu , lema & other classless politicians kina SUGU etcl CDM kuchukua nchi watanzania itakuwa ni kama tume JUMP from the oven into the frying pan na kamwe haitakuja kutokea ... tunapenda sana nchi yetu tanzania bila udini na ukanda inawezekana... simply tusichague chadema