Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,345
JF zaidi ya burudani
Ai jamani Mudiii... Nilikumiss sana, ulikua wapi bro?
JF zaidi ya burudani
naona tupo kwenye habari za burudani na michezo,excellent kabakabana
hili linasemwa sana na wachaga wengihili nalo sikulijua,dah hapa kazi ipo basi
hili linasemwa sana na wachaga wengi
JAMA KUNA TETESI ZINASEMA KUWA FREEMAN AIKAELI MBOWE NI MTOTO WA JULIAS KAMBARAGE NYERERE, hawa wanaoeneza hili wanadai kuwa enzi nyerere akidai uhuru alikua best friend wa mume wa mama yake mbowe hvy mzee huyo alikuwa anamwamini sn nyerere hvy wkt mwingine alipokua anaenda kwenye mishemishe zake nyerere alikuwa anaenda kwake na ndipo mama aikaeli alipopata mimba ya mzee jk na akamzaa mwana ambaye ni freeman mbowe, na wanaenda mbali na kusema nyerere alimpenda mbowe klk wanawe wote hvy akampa fimbo yk. MI SIJUI KM NI KWELI AU UZUSHI... ila
Du kazi ipo kweli kwani Mbowe anatembea na hicho kifimbo
we Mamndenyi ndo umepotea njia
bora kama kitu hujui nyamaza,
Aikaeli ni jina la baba wa Freeman
na mama anaitwa Aishi
kifimbo cha nyerere kipo butiama kwenye jumba la makumbusho ya nyerere. Kwenye hilo jumba kuna hata saa alizokuwa anavaa, suti aliyovaa siku anaenda hosptali kwa mara ya mwisho, vibaragashia na viatu.fimbo za nyerere zipo tatu. Ya kwanza ni ile aliyotumia wakati wa kutafuta uhuru ilikua kama bakola, nyingine ni ile aliyokuwa anatumia baada ya kuwa rais na nyingine ambayo ni ndogo kuliko zote alikuwa anaitumia anapoenda sehemu mbalimbali. Sasa sijui wewe unasema ipi. Mia