kifaa kipya mjengoni

sakatutuka

Member
Sep 14, 2011
17
0
Ndugu zangu wana JF. amani daima.
Nimepiga hodi nikiashiria kuwa ndio najitosa mjengoni kwa mara ya kwanza nikiamini kuwa wana JF sote ni ndugu, basi sinashaka mtanipokea. Naomba ushirikiano wenu.
 
Karibu sana....wewe ni kifaa?
aseee, wewe ni she au he?
Samahani kama nimekukwaza.
 
Ndugu zangu wana JF. amani daima.
Nimepiga hodi nikiashiria kuwa ndio najitosa mjengoni kwa mara ya kwanza nikiamini kuwa wana JF sote ni ndugu, basi sinashaka mtanipokea. Naomba ushirikiano wenu.

...............kifaa kipya,...........................sakatutuka..................,karibu hujambo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom