Kidume ametumika Mungu amlaze pema peponi

Kidume ametumika Mungu amlaze pema peponi

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,241
MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPON MZEE WETU;YAANI KTK MAWAZIR KAMA TUNGEOMBWA NA MUNGU TUKATE RUFAA YA KIFO NINGEMKATIA HUYU BRA..ALITUMIKA VILIVYO
BWANA AMETOA BWANA AMETWA JINAA LA BWANA LIBARIKIWE

chiduo.jpg
 
Lte dk chiduo waziri wa afya!!
 
MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPON MZEE WETU;YAANI KTK MAWAZIR KAMA TUNGEOMBWA NA MUNGU TUKATE RUFAA YA KIFO NINGEMKATIA HUYU BRA..ALITUMIKA VILIVYO
BWANA AMETOA BWANA AMETWA JINAA LA BWANA LIBARIKIWE

chiduo.jpg

Mawazo yako kila mtu anamjua .....
 
Sasa mbona kafa siku nyingi wewe unamleta leo .....
 
Kwani umesikia Mungu anataka watu wabaya huko kwake? Tunaowaona wanafaa Mungu anawataka pia katika serikali yake,
 
Back
Top Bottom