KIDUKU, CHINA, URUSI, WAKIJA ETI WATAKULINDA DHIDI YA MAREKANI WAFUKUZE, HAWAFAI

KIDUKU, CHINA, URUSI, WAKIJA ETI WATAKULINDA DHIDI YA MAREKANI WAFUKUZE, HAWAFAI

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,213
KWA Maduro Venezuela tukasema MMH hakuwa na makubaliano ya kumlinda, tukafunika kombe,

Mmmh HATUJA KAA SAWA mara KHAMENEI hatunae, TENA HUYU walimhakikishia kabisa wakajifanya KUSIMAMA kidete, Kiko WAPI, HAWA JAMAA Nina mashaka na UWEZO WAO KWA KWELI Yani hakuna jaribio walio zuia, ni matamko TU HATA HUYO KIDUKU marekani akiamua anamchomoa TU KWA hali hii inavunja sana MOYO, Siwa AMINI TENA, MAREHEMU MENGI aliwahi KUSEMA OGOPA SANA WATU wanaokwambia WAKO NYUMA Yako mara nyingi ukigeuka huwaoni
 
VITA inasababisha
▪︎ Vifo kwa wananchi wasiona Hatia
▪︎ Kushuka kwa Uchumi sana na kwa muda mfupi
▪︎ Uadui wa Kudumu
▪︎ Kuharibu biashara zote za kuimport na kuexport
▪︎ Kushindwa kufanya shughuli za kawaida za kijamii na kielimu...mfano wanafunza kusoma kwa bidii
▪︎ Kushusha rank ya nchi kwenye medali za kiuchumi na kiushawishi Duniani
RUSSIA na CHINA wana nia ya kuja kuwa na Ushawishi Dunia nzima na wanaelekea huko na athari za vita wanajua kwasababu wana uzoefu na vita sio Wageni hasa Urusi ndio maana hawataki kupoteza hiyo nafasi walioifikia kwasasa.

Vita sio Muziki wa Singeli Sheikh wangu
 
Wawe WANA nyamaza Sasa mikwara MINGI ALAFU WATU wanapoteza VIONGOZI WAO ni matamko TU basi Kama wanahofu kuzichapa MBONA HATA kuwalinda wameshindwa
 
Wawe WANA nyamaza Sasa mikwara MINGI ALAFU WATU wanapoteza VIONGOZI WAO ni matamko TU basi Kama wanahofu kuzichapa MBONA HATA kuwalinda wameshindwa
Kupigana Vita au kusupport nchi yoyote kwa silaha zote zinaathiri sana Nchi kiuchumi

Kwa mfano, kwenye upande wa Silaha, Urusi ana silaha nyingi na nzito sana kwa mfano Fighting jets zake ni hatari zaidi kuliko zingine zote za ulaya ila akijihusisha na vita baada ya muda hatauza gesi wala Chuma yake...atakosa wateja wa kudumu na nchi itashuka kiuchumi, China vivyohivyo
 
Unahakika Iran na nchi ulizotaja wana mikataba ya kusaidiana kijeshi?
Hayo lazima yawe katika mikataba Mkuu otherwise China angekuwa wa kwanza kutoa msaada kutokana na maslahi ya kiuchumi ndani ya Iran,

Anachofanya China kwa sasa ni kutoa msaada indirectly kwakuwa hana mandate ya kutangaza rasmi kuwa yuko na Iran.

Na suala la kuwa na mikataba ya ushirika na Taifa fulani ili muwe wote wakati wa vita linagarama kubwa hasa kwa nchi changa yani ni sawa umepunguza sovereignty ya nchi yako ndio kitu Iran hataki kufanya,
Washirika wake wanabaki ni washirika wa kiuchumi tu.
Katika hii vita imeonyesha wazi kuwa mtu ambae si wakumuani ni USA kwa kushindwa kuwalinda washirika wake nchi za middle east ambazo wanamikataba ya kusaidiana kijeshi na sasa zinapigwa kama wanyewe wamehama.
🙏
 
Suala sio huyu kumsaidia yule, suala ni kutokua na upumbavu wa vita karne hii.
Pili hakuna military alliance kati ya hizo nchi unazozitaja.Masuala ya vita na uhai wa watu sio mambo ya hisiahisia kama mnavyoyaleta.
Tatu jitahidi ujisaidie mwenyewe sio kusubiri kusaidiwa, Kiduku kajisaidia mwenyewe.Saudi Arabia,UAE, huoni makombora wanayokula umesikia bunge la US limeshtushwa na mvua za mabomu wanazokula??
 
Hivi vita vinakwenda kupaisha sana Marekani na Israel, dunia ipo kimya tuliii....
 
Kupigana Vita au kusupport nchi yoyote kwa silaha zote zinaathiri sana Nchi kiuchumi

Kwa mfano, kwenye upande wa Silaha, Urusi ana silaha nyingi na nzito sana kwa mfano Fighting jets zake ni hatari zaidi kuliko zingine za ulaya ila akijihusisha na vita baada ya muda hatauza gesi wala Chuma yake...atakosa wateja wa kudumu na nchi itashuka kiuchumi, China vivyohivyo

UONGO. ACHA UONGO DOGO.
 
Ukweli ni kuwa nataka nikuoe wewe na mama yako. Maana yeye anasema yupo tayari hajui wewe kama utakubali muwe wote wawili
Yaani nimpe mama yako mimba akuzae wewe kama mtoto haram halafu tena unioe? uliona wapi Mtoto kumuoa Baba yake hata kama ni wa kambo?
 
Back
Top Bottom