Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

naomba tu nikae na hiyo EFD machine!
 
enh nyie endeleeni kwenda kufata mzigo na kurudi!
MI NTAKUWA NAPOKEA SIMU!
KUPANGA VITI VYA OFISI ,KUPOKEA ORDERS!
KUANDIKA FLIERS!
KUTANGAZA INSTA NA KWENYE MAGAZETI NA JF!
KUPOKEA WAGENI NA KUWABADILISHIA CHANNEL!

OFISI ZETU ZITAKUWA NA WiFi!
wakija bando bure ili wakati wanasubiri zamu zao za kumuona MTAALAM!
wawe wanaweza kumfuatilia Sister Fay!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…