Kidonda Kwenye Ulimi

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
844
Habari za jioni
Naomba kwa anayefahamu aniambie ni dawa gani naweza kutumia ili niweze kupona kidonda kilichopo kwenye ulimi. Sio mara ya kwanza kunipata na huwa natumia maji ya chumvi kusukutua kisha kinapona ila baada ya miaka 2 au 3 kinarudi tena. Nisaidieni jamani mana hata chakula sioni ladha yake na pia nimesitisha kisses kwa wife wiki sasa.
 
utakuwa na ukosefu wamadini muhimu mwilini jitahid uwe unakula.matunda asee
 
Habari za jioni
Naomba kwa anayefahamu aniambie ni dawa gani naweza kutumia ili niweze kupona kidonda kilichopo kwenye ulimi. Sio mara ya kwanza kunipata na huwa natumia maji ya chumvi kusukutua kisha kinapona ila baada ya miaka 2 au 3 kinarudi tena. Nisaidieni jamani mana hata chakula sioni ladha yake na pia nimesitisha kisses kwa wife wiki sasa.
Chukuwa Asali safi jipake kwenye ulimi asubuhi na jioni kwa siku 3. Nenda ukapime una upungufu wa Vitamin mwilini.
 
Back
Top Bottom