Kidogo nitapeliwe-SHAMBA!

Kidogo nitapeliwe-SHAMBA!

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Wanajamvi kuweni makini sana na wanaotangaza kuuzwa kwa mashamba nk, majuzi nilienda mwanza, nilipofika mwanza nikapelekwa sehemu ambako nilitaka kununua kama heka5 za shamba maana sehemu yenyewe kwakweli ni nzuri sana acha tu, na nilitaka kwaajili ya kuja hata kuuza baadae nijipatie mane,maana sikupanga kununua ila nilivutiwa na sehemu ilivyo nzuri nikafikiria nikaona itakuwa in investment moja nzuri kwangu, basi bwana nikafata process zote za ardhi nk ili nisije tapeliwa nk, tatizo likaja kumbe yule alikuwa anaact kuwa ni lake si lake yaani nimekuja gundua mwishoni kabisa, naona ni kama Mungu tu maaana alikosa kabisa amani siku hiyo ya makubaliano ya mwisho, nikaamua kusitisha, kumbana zaid akakiri kuwa sio lake sijui kimeenda kimerudi...ni long story lakini kwa ufupi ndo hivyo, be careful saaana na haya mashamba/viwanja.
 
Ungesimulia kwa undani kiasi ilivyokuwa, kuanzia ulivyosikia shamba linauzwa, mpaka ulivyokuja kugundua kuwa huyo jamaa si shamba lake. Na hyo jamaa ina maana alikuwa dalali ama? Pia tujue ni maeneo gani asije kupeleka muungwana mwingine asiye muangalifu akalia!
 
Matapeli wa mashamba sio mwanza tuu..
Hata humu(JF) wapooo
wapenda pesa za bure sio kwenu tu..
Hata humu wapoo

kuwa makini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom