Kick nyingine Mmh

Misalaba yote imewekwa siku moja na hakuna kaburi lilijengewa yote yametengenezwa muda mfupi .Aje iringa nimpeleke kwenye makaburi
 
Keshasema mungu wake anajibu fasta... mnahoji nini tena.
 
Anafosi tu watu ili watu wamwelewe hivyo lakini jamaa ni pimbi tu kama pimbi wengine
 
Freemason ni Propaganda tu ya kutungwa hakuna chochote.

Huyu anasumbuliwa na Ushamba
 
Misalaba yote imewekwa siku moja na hakuna kaburi lilijengewa yote yametengenezwa muda mfupi .Aje iringa nimpeleke kwenye makaburi

Keshasema mungu wake anajibu fasta... mnahoji nini tena.


Huyu atapotezwa soon, wanamlia target tu. Asifikiri ule wimbo wake umekubalika kirahisi hivyo...

Time will tell
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15] [emoji87]
 

Alitaka kumuiga Michael Jackson RIP kwenye thriller
 
Ameshaiuza Roho yake kwa (...) ndo maana hana wasiwasi na kuzimu, watu kama kina Rickross,wayne,eminem,tyga wanajua hii hali...SOLD SOULS
anatamani kuingia mason ila hajui pa kuanzia so anatapatapa,mason kama.... za maduani ukiipania ndo hupati nafasi kabisa.huwa wanakua na ??why unapataka una nini kichwani mwako dhidi yao??
 
mason hawawezi recruit nyambafu kama huyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…