dongo jeusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 248
- 210
Hakuna makaburi hapo, hayo ni mazingira ya kutengenezwa kwaajili ya shooting, angalia vizuri.Watanzania wengi huwa tukiona makaburi tunapata hisia za kimajini, mapepo uchawi....tu.
Hiyo picha ya kwenye graveyard inaweza kuwa na maana pana zaidi na tafsiri pana.
Huko kuna vitabu vingi ambavyo havijawahi kuandikwa.
Kuna nyimbo nyingi sana ambavyo hazijawahi kuimbwa....graveyard can be the richest place on the planet.
watampapasa shauri yakeHazijui vema[emoji3] [emoji3] [emoji3]
ni namna yake ya uwasilishwaji wa anachokimini...ila kamwe fala kama huyu hawezi kuwa freemason.kamweKuna nyimbo yake flani hivi anasifia freemason aliitoa kipndi flani mara kuna mwanamke yumo ndani ya sink la damu an etc...nyimbo zake ukizisikiliza vyema utagundua Ney ana maudhui flani hivi ya mashairi yasiyo na Mungu wa Mbinguni ndani yake but huyu mungu wa duniani, me nlimfuatilia tangia ngoma yake ya kwanza aliyoshirikishwa na binti flani hivi mpaka ya wamepanda wameshuka an etc...
Hapo ana makosa mawili! kuvaa nguo za JWTZ na kuwasumbua marehemu wakiwa wamepumzikaAnajaribu
Kuna moja ya zaman kidgo wakat ndio anatoka toka,,alisema utajisikiaje mama yangu akimchapa kofi baba yako,,,na sehem nyingine akasema baba yake akifa yeye anaenda discoKuna nyimbo yake flani hivi anasifia freemason aliitoa kipndi flani mara kuna mwanamke yumo ndani ya sink la damu an etc...nyimbo zake ukizisikiliza vyema utagundua Ney ana maudhui flani hivi ya mashairi yasiyo na Mungu wa Mbinguni ndani yake but huyu mungu wa duniani, me nlimfuatilia tangia ngoma yake ya kwanza aliyoshirikishwa na binti flani hivi mpaka ya wamepanda wameshuka an etc...
Sawa, lakini dhamira ni nini?Hakuna makaburi hapo, hayo ni mazingira ya kutengenezwa kwaajili ya shooting, angalia vizuri.
dhamira ni watu kumuongelea sana ili azidi kupata umaarufuSawa, lakini dhamira ni nini?
Kweli misalaba yote inafananaHakuna makaburi hapo, hayo ni mazingira ya kutengenezwa kwaajili ya shooting, angalia vizuri.