It is possible, you can do it.
Timiza wajibu wako asipokuamini basi
Wanaume huwa hawachuniani, hilo ni bifu la kike...
msaidie rafiki ako mwambie, ila na kusutwa ujiandae
make mambo ya wapenzi waachie wapenzi wenyewe,
watagombana ila wakipatana unalo!!!!!
Mueleze tu ila sijui atapokeaje,lakini wewe utakua huna dhambi tena
It is possible, you can do it.
Yeah true
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!
mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!
nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!
huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,,,
nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,,,!!!
Wewe una uhakika gani kuwa walienda kufanya ngono?
Na huyo unayedhani ni muathirika uliambiwa tu au ametangaza mwenyewe.
cc: Godfrey JacksonMtumie msg,emailbila yakuweka identity yako,mwambie tu nakutaarufu hivi ili ukacheki afya yako na ya huyo mpenzi wako.lazima tu atashtuka na kutake action,incase of anything.unaweza fungua fake email account.
Kumbe na wewe ulikuwa unatoka GESTI,Na ulijuaje huyo ni HIV Victims,je ulishawahi kumpima?