The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
Habari zenu wana MMU hope wengi wenu wazima!
Mwenzenu nina jambo linaloniumiza kichwa sana!
Nina rafiki yangu ambaye tulikwazana muda kidogo uliopita ambapo hadi sasa hakuna anayemsalimia mwenzie!
Huyo rafiki yangu ana mpenzie ambaye juzi ya jumatatu nimepishana naye gesti akitoka na mtu ambaye ninamfaham kuwa ni mwathirika wa HIV (ninamfahamu huyo mtu coz ni jirani yangu wa karibu sana) sasa nahitaji kumtahadharisha huyu rafik yangu niliyegombana naye ila sijui hata pakuanzia sababu hatuelewani hata chembe,
Nipeni ushauri sababu hilo jambo ni zito kwangu,