kichwa cha Mh: Mnyika ni zaidi ya vichwa vya wabunge woote wa CCM mkoa wa Dar es Salaam...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
madini aliyoyatema Bungeni jana Alhamisi yanaendana sawa kabisa na kichwa cha habari hii.

Hoja ulizotoa ni za msingi na ulisimama imara ktk kuzitetea.

Hongera Muheshimiwa.
Taifa ziima mpaka Msoga tunakutegemea wewe.
 
madini aliyoyatema Bungeni jana Alhamisi yanaendana sawa kabisa na kichwa cha habari hii.

Hoja ulizotoa ni za msingi na ulisimama imara ktk kuzitetea.

Hongera Muheshimiwa.
Taifa ziima mpaka Msoga tunakutegemea wewe.

Mimi sijamsikiliza. unaweza kutujuza aliongea hoja zipi?
 
Acha ushabiki mahaba we dada!Mnyika kichwa kwa hoja zipi?
Red:Sidhani kama ulikuwa unasababu ya kumwita dada:
Blue:ilikuwa inatosha kabisa kumuuliza
Sasa sijui sababu za kutoka povu jingi mdomoni na sehemu za m.a.k.a.l.i.o ni nini?
 
mimi jana sijamsikiliza. ila leo nimemwona akiwa tbc1 asubuhi pamoja na mama ana abdala, kijana mnyika ni kichwa. hata ana abdala amemsifu live na kusema akiendelea hivyo ana haki ya kurudi tena bungeni. amewaasa wabunge vijana kwa wazee waige mfano wa mnyika
 
Mleta thread mbona umeongea mafumbo? si ungeandika hata kwa kifupi? wengine TV ya kugombaniana Mwingine anataka Tamthilia, mwingine Al Jazeera na wengina Cartoon hebu muwe mnatujuza vizuri ili tuelewe
 
Back
Top Bottom