Kichwa cha habari : Tutakukumbuka daima

Kichwa cha habari : Tutakukumbuka daima

Hapana amefanya mazuri mengi kwa wakati ule.
Sisi tuliokuwa tunasoma elimu ilikuwa ya juu sana, walimu waliletwa toka kila kona ya dunia mradi tupate elimu nzuri. Uchumi ulikuwa mzuri ingawa watendaji wengi hasa wanasiasa walikuwa na woga kama hali tunayoiona sasa. Tulishuhudia watu wakipanda migomba siku Mwalimu anakuja kijijini kwetu ili ionekane wanafanya vizuri vijijini. Kilichoharibu wakati ule ni unafiki ambao ndo tunauona awamu hii. Ila huyu kiongozi hana dira, hana Charisma anatenda bila kufikiri wala kujali implication za baadaye.
 
Nafasi hii ni kubwa kwake.
 
Hana cha maana alichokifanya huyu.

Naye ni walewale wazee wa kuminya Uhuru wa habari.

Sitasahau miaka ile anaangalia TV anakuja kutudanganya amelala akaota.

Alitufanya wananchi kama mandondocha wake.
hizi huwa ni stori za vijiweni tu, zanzibar watu walikuwa na tv wangeweza kukosoa uongo wake.

sijawahi amini stori izi
 
Mkuu na mimi naona kama ni "Hash tray"....!!
Hahahahaaaa hiyo inaitwa ngararumu kwa Acity! Au githeri kwa hapo kenya! 100% pure,no additives no preservatives, and yet No expire date!!! Best around 2600 hours from cooking hour!
 
Huwezi "kusukumiziwa" kitu ukaa tu, labda mifumo ya fahamu iwe imekatika.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
a2e08111d7b10286d8e917e7ef89f0f2.jpg

Alafu leo wanakuja kumfananisha na "gudulia". Kwakweli Mungu awasamehe sana.
Empty vessel , Gudulia [emoji12] [emoji12]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom