New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,922
- 3,865
Utaitwa mdini muda si mrefu.Hana cha maana alichokifanya huyu.
Naye ni walewale wazee wa kuminya Uhuru wa habari.
Sitasahau miaka ile anaangalia TV anakuja kutudanganya amelala akaota.
Alitufanya wananchi kama
mandondocha wake.