mkuu,nikipata muda nitakueleza kichuri ni nini,dah mkuu natamani likizo ifike haraka nisepe zangu home
Hiyo sio maana sahihi ya kichuri
Hii thread nilitegemea lazima uchangie. Nadhani unakumbuka pale Tarime "Amarura Cafe"
Nawe ni akina matiku,warioba, mula,maranya, mwita, chacha, marwa, bhoke?
kumbe ni jirani?
Tata Mura walaye, mimi tayari nimeshaoa nilimchukua mtoto wa pale Burunga ndiyo tupa nae hapa mjini tunapambana na maisha
eheee bhana eheee
ulikuwa kwenye msiba wa babu yako nn!!!
December hiyooooo tukutane mahome kuwachinjia wazeee
ochuri, chind an'get,adundo,chuny,kichenge,agoko gi ring bat!!!!!UTAIPENDA MARA!!!!!!!!!
kichuri ndiyo chakula gani?
Hahahaha burunga ya sasa uwanja wa ndege, umevuta mwikoma, mwisenye au mnata???
Kavuta Nyambura huyo !!!
Mie la nyumba naitwa Nyawairungu.......
Mwikoma olii, hahahhaha
Eheeee, ajabu sana. Miye ni Wairungu
Hahaha watu wa Mara ndiyo maana wana nguvu sana maana hawaachi asili hata kama wapo mjini.Kwa hapa Dar kichuri tunakipata maeneo ya Kitunda ingawa ni kwa order maalumu ila si mbaya
Mkui acha basi kuniiga....