Kichuri

yaani mkuu ukipata hii kitu alfajir,unaweza kutembea kwa miguu kutoka gamasara hadi mmazami ndo upande gari.full morali,full shibe,full kujiamini,full hata kamchezo ketu kare mura......

Hahaha watu wa Mara ndiyo maana wana nguvu sana maana hawaachi asili hata kama wapo mjini.Kwa hapa Dar kichuri tunakipata maeneo ya Kitunda ingawa ni kwa order maalumu ila si mbaya
 
mura mshushie miss chagga nondo za kichuri mura,unaweza ukambeba mzima mzima sababu ya kichuri tu mkuu.unaweza pata mke mura

Tata Mura walaye, mimi tayari nimeshaoa nilimchukua mtoto wa pale Burunga ndiyo tupa nae hapa mjini tunapambana na maisha
 
Tata Mura walaye, mimi tayari nimeshaoa nilimchukua mtoto wa pale Burunga ndiyo tupa nae hapa mjini tunapambana na maisha

nalaye mughaka,hata mimi nimeshateta mughaka.labda muchepuko mughaka
 
Eeeeehhhh bwana eeeehhhh!!!!
Nmemiss hiyo kituuuuu!!!
Mm pnda saaana nyama na kichur pmben
 
waCHAGAGAAA hoyeeee...naona maandalizi ya kurudi NYUMBANi yanaanza na mzukaaaa (muwalete home shemejiiiiiiziii kuwatambulisha)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…