Nitakuburuza aisee; damu imeanza kunichemka. Nitakuburuza sana nikifikia kikomo cha uvumiliaji. Usitake kunichafulia heshima yangu hapa JF ambapo nimekuwa mwanachama mwaminifu kwa takribani miaka 20 ya kujitolea kwa heshima sana. Ngoja nikapate wanzuki galoni tatu ili kama hutakuwa ume-apolojaize kwangu na kwa mai waifu wangu wakati narudi utapata tabu sana.ππΏππΏππΏππΏView attachment 3373727
π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏNitakuburuza aisee; damu imeanza kunichemka. Nitakuburuza sana nikifikia kikomo cha uvumiliaji. Usitake kunichafulia heshima yangu hapa JF ambapo nimekuwa mwanachama mwaminifu kwa takribani miaka 20 ya kujitolea kwa heshima sana. Ngoja nikapate wanzuki galoni tatu ili kama hutakuwa ume-apolojaize kwangu na kwa mai waifu wangu wakati narudi utapata tabu sana.
Aliyemkuta mwenzake ndio wa kuondoka.. Kwa kawaida vichuguu huwa haviwafuati watu.. Lakini ukishaona makazi yako yamevamiwa na mchwa sio dalili nzuri. hama!Kisima cha elimu na maarifa. Zipi njia za kuondoa vichuguu karibu na ma kazi ya watu?
Na wewe unataka kununua kesi isiyokuhusu! Ni Marufuku kutumia neno Kichuguu au Vichuguu bila idhini yangu! Ukikiuka, nitakuburuza kwa pilato na utasulubiwa msalabani kwa misumali ya moto. Kabla ya kutumia maneno hayo lazima uombe ruksa toka kwangu.Kisima cha elimu na maarifa. Zipi njia za kuondoa vichuguu karibu na ma kazi ya watu?
Haki milikiππΏππΏNa wewe unataka kununua kesi isiyokuhusu! Ni Marufuku kutumia neno Kichuguu au Vichuguu bila idhini yangu! Ukikiuka, nitakuburuza kwa pilato na utasulubiwa msalabani kwa misumali ya moto. Kabla ya kutumia maneno hayo lazima uombe ruksa toka kwangu.
Visenene navyo ni kama unakula panziIle rangi yao tu kama mende dah sijui watu wanawalaje, bora visenene.
Sorry, hivi Mchwa wakiwa wakubwa na kuzeeka ndio wanakuwa Malkia? Au wanakuwa tu kumbikumbi?Kichuguu (pia: kingulima, kiduta, kishirazi) ni sehemu au nyumba wanamoishi mchwa baada ya kujijengea kwa udongo waliouchanganya na mate yao.
Umbo la kichuguu linaweza kubadilika, lakini kuna masharti kadhaa ya kuwezesha mchwa kuishi humo ambayo hayaathiri mandhari ya ndani kama vile giza, ubichi, utulivu n.k..
Ili kichuguu kiwe hai lazima malkia awe hai kwani yeye ndiye anayetaga mayai kwa ajili ya kuzaa mchwa na kumbikumbi. Ndani ya kichuguu utakuta nyumba ya malkia ikiwa na ulinzi wa mchwa wengi sana.
Malkia huwa ni mweupe mwenye ngozi laini sana; kwa ndani ni kama ana majimaji au mafuta (kiowevu).View attachment 3372926 hapo chini utaona picha tofauti za vichuguu lakini haya ni maumbo ya nje tuu.. Huko ndani formation ni mojaView attachment 3372927
Ok, basi wapo wachache sana kama hatokani na mchwaMalkia hubaki kuwa mmoja tuu
Bora panzi kuliko mendeVisenene navyo ni kama unakula panzi