Kichomi kwa Kiingereza

kichomi kwa kiingereza ni sharp pain.
pneumonia kwa kiingereza ni homa ya mapafu
kichomi kinaweza sababishwa na maradhi mengi ka vile homa ya mapafu,vidonda vya tumbo au utumbo nk
 
Stitches ni nyuzi jamani

Kichomi kwa kizubgu ni kychomy

nadhani kichomi kwa kidhungu ni ''stitches'', ila uzuri wa google hata ukiweka ulizo ambalo ni descriptive utapata.ila kichomi chini ya kitovu?ama ni maumivu?kama ni mwanamke it might be something to do with kizazi ama njia ya mkojo
 
swali juu ya swali,hivi tofauti ya kichomi na kiungulia ni nini?....kwa kweli sijui which is which.
 
huu ni ugonjwa wa kwetu kitanzania ndio maana hauna neno la kidhungu?
 
Back
Top Bottom