Kicheko toka moyoni

Kicheko toka moyoni

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
426
Reaction score
54
Kicheko toka moyoni
 

Attachments

  • PINDA.JPG
    PINDA.JPG
    74.6 KB · Views: 302
kwi... kwi... kwiiiii.... haka katoto balaa ssa kanacheka nini..?? (baby face)
 
Lazima kacheke kamezungukwa na wanaume pande zote :love::love::love::love:
 
Mtoto wa mkulima karusha jiwe hapo si unamuona na yeye anaseka?
 
hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sijui mtoto wa mkulimawauongo alimwambia nini!
 
Binti ana haki ya kufurahi.Kitendo cha kukaa karibu na kiongozi wa nchi wa kiwango cha PM na akaleta joke kwa watoto wadogo kama hawa inafurahisha sana. Pengine kamtania kwamba "soma sana utakuwa waziri Mkuu kama mimi baadaye".
 
Nimependa alivyo 'free' bila kujali anacheka na nani,labda anafahamu waziri mkuu ni mwajiriwa wake.


hata mimi nimeipenda hiyo dogo hana nidhamu ya uoga yaani kajimwaga wacha kabisa...cheka we binti usipocheka leo utacheka lini
 
Back
Top Bottom