Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ninaamini hata wewe hujacheka!
ulitaka ushikwe makalio ndo ucheke ?Ninaamini hata wewe hujacheka!
Una maana ccm wameishiwa mbinu kiasi wameamua kuchukua kila kitu cha chadema?Chadema; anayemshabikia fisadi Lowasa akapimwe akili ,tumemuweka kwenye list of shame
Chadema; watanzania mchagueni Lowasa awe rais
Chadema; anayemshabikia fisadi Lowasa akapimwe akili ,tumemuweka kwenye list of shame
Chadema; watanzania mchagueni Lowasa awe rais
Hii ndo shida ya kuwa na baba jeuri hafu uwezo hana..kuwa jeuri ukijua unaweza kuvimba na kumvimbia yeyote shenzi type..mwambie atuvimbie sisi tu...kawa mpole kama kipiriton nachoshukuru watoto wa kike waliopigwa mimba na viongozi wa ccm watarudi tena mashuleniIko Kama ifuatavyo
WB: Tunafikiria kuzuia Mkopo kwa Tz
CCM: Wapinzani hao, hawaitakii mema nchi
WB: Tunazuia mkopo kwa Tanzania
CCM: Poa tu, hatuna Shida na pesa za mashoga, sisi sio mashoga
WB: Tutaipa Tz mkopo na tunataka kila Kijana wa kiume na wa kike apate Elimu (as a condition ya mkopo)
CCM: Wamesema watatoa pesa bila masharti. Tutapata pesa iko nyingi tu
CCM: Aliyesema Hatupati mkopo ni Upinzani, Tena tutapata pesa nyingi toka WB
Unakaa unacheka unafurahi, unaanza kujiuliza, ina maana Leo Tumekubali kuwa Mashoga na kupokea pesa ya kutoka kwa mashoga?
CCM bhana
Kwa mara ya kwanza MTU wa kwanza kupewa chain Ikulu ni yule mnayemwita Fisadi RostamChadema; anayemshabikia fisadi Lowasa akapimwe akili ,tumemuweka kwenye list of shame
Chadema; watanzania mchagueni Lowasa awe rais
Sasa midabwada yao humu jf ndio utacheka zaidi !Iko Kama ifuatavyo
WB: Tunafikiria kuzuia Mkopo kwa Tz
CCM: Wapinzani hao, hawaitakii mema nchi
WB: Tunazuia mkopo kwa Tanzania
CCM: Poa tu, hatuna Shida na pesa za mashoga, sisi sio mashoga
WB: Tutaipa Tz mkopo na tunataka kila Kijana wa kiume na wa kike apate Elimu (as a condition ya mkopo)
CCM: Wamesema watatoa pesa bila masharti. Tutapata pesa iko nyingi tu
CCM: Aliyesema Hatupati mkopo ni Upinzani, Tena tutapata pesa nyingi toka WB
Unakaa unacheka unafurahi, unaanza kujiuliza, ina maana Leo Tumekubali kuwa Mashoga na kupokea pesa ya kutoka kwa mashoga?
CCM bhana
Hahahaah Nadhani hili jibu ni Sahihi kabisa aiseeeeeulitaka ushikwe makalio ndo ucheke ?
CCM bhana! Hawa jamaa MmmmghhSasa midabwada yao humu jf ndio utacheka zaidi !
Hahahaha Hawa jamaa kazi kweli kweliKwa mara ya kwanza MTU wa kwanza kupewa chain Ikulu ni yule mnayemwita Fisadi Rostam
Hivi ni Wazazi wa CCM ndio wanatuharibia watoto wetu KumbeHii ndo shida ya kuwa na baba jeuri hafu uwezo hana..kuwa jeuri ukijua unaweza kuvimba na kumvimbia yeyote shenzi type..mwambie atuvimbie sisi tu...kawa mpole kama kipiriton nachoshukuru watoto wa kike waliopigwa mimba na viongozi wa ccm watarudi tena mashuleni
Umewahi fika wingereza wewe?JPM akili zake anazijua mwenyewe!Au alidhani watz hatujui kimombo?
SijawahiUmewahi fika wingereza wewe?