Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Wakubwa wa GT ushauri unahitajika kwani najua hii kitu haipo kwenye damu ya mtu.
kwa mwanaume/mvulana
kwa mwanaume/mvulana
dume au jike
Wakubwa wa GT ushauri unahitajika kwani najua hii kitu haipo kwenye damu ya mtu.
kwa mwanaume/mvulana
ikabe kabari, ina adabu kweli
Nadhani dawa ni kujipenda, kuupenda nafsi na mwili wako.
Rudi muhimbili wakakurudishie sweta.......
Kama ni ukweli basi hujaibia sababu ukweli ni mmoja kwa watu wote. 🙂Kweli we ni mwali na umefunzika mama....big up....mi sina la kuchangia hapo, nilicho-quote ndo mchango wangu ingawa wa kuibia ila ndo ukweli.
Rudi muhimbili wakakurudishie sweta.......
Nadhani dawa ni kujipenda, kuupenda nafsi na mwili wako. Kwa kweli ukijipenda vipaswavo utaona tu kua vitu vyenye thamani kama hivyo havitakiwi kuchezewa na mtu wowote. Utaanza kuchagua wanawake wenye kuweza kuvithamini, na hawa sio wengi sana. Watu wanasema ni maringo ila sio, ni self esteem ya nguvu sana.
Piga puli mkuu,itakusaidia sana.
ha ha ha ha
nimekugongea LIKE hapa
idai kwa mods
maamuz tu jambo ukiamua linawezekana
Nifafanue vipi mkuu?mwali embu fafanua kidogo hapa tafadhali naona una point nzuri sana ya kunisaidia