Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

Uko sahihi sana mkuu, huyu mtu hayuko serious kabisa na hajui maadili ya kazi yake
mkorofi sana huyu. Kama vitu havijui si akubali tu hajui na alipayuka. Hii kwangu inanionesha kuwa wala hajutii kitendo alichokifanya...ametaka tu kuwa "politically correct":

Angeweza hata ku-google tu kujua kinachosababisha moshi mweupe au mweusi badala ya kendelea kupotosha na "kuwasanifu" wakatoliki. Jinga kabisa!
 
Nilimsamehe kwa kuwa tangu kifo cha Daudi Mwangosi binafsi nilishamchukulia Kibwana Dachi kama mlemavu wa akili. Ni imani yangu ni Kibwana Dachi huyu huyu aliyekuwa Channel Ten.
 
Mkuu GENTAMYCINE, tunashukuru ametuomba radhi huyu bwana asubuhi ya leo katika kipindi chao..asingefanya hivyo tungemshughulikia ipasavyo..

Vizuri Mkuu Na Hata Mimi Mwenyewe Nimemsikia Japo Alikuwa Anataka Kujichanganya Tena Katika Kulitolea UFAFANUZI Ila Akashtuka Na Akapotezea. Tumsamehe Na Yameisha Sasa!
 
Ukweli ni kuwa hakuhusisha Ukatoliki na uchawi kama anavyodai mleta mada; alisema Katoliki wanayo idara maalumu ya kutafiti ushirikna. Tafasiri zetu ndio zimetufikisha kwenye madai kuwa Katoliki wanaamini ushirikina. Vv
Soma Alichokiandika Member kapotolo Hapo Juu Kisha Utaelewa Nini Kibwana Dachi Alikisema Jana. Halafu Naomba Kukuuliza; Kama Mimi Mleta Mada Unadai Nimemsingizia, Je, Imekuwaje Ameomba Radhi Kwetu Jana Kwa Maandishi Na Amefanya Tena Hivyo Leo Katika Kipindi Chao?

Sijajiita Gentamycine Bure au Kwa Kukurupuka Na Najua Nini Nafanya.
 
Genta, ulimsikiliza Kibwana aliposema hayo? Mimi nilimsikiliza Kibwana Dachi , wewe umemsoma aliyeleta malalamiko, kwa hiyo mimi nazungumza baada ya kuzisikia pande zote mbili.

Suala la kuomba radhi ni suala la uungwana tu na kupisha malumbano na sio lazima awe amekosea. Kumbuka hili ni suala la kiimani, Kibwana Dachi sio Mkristo, kwa hiyo sio rahisi kueleweka na Wakristo.

Vv
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Genta, ulimsikiliza Kibwana aliposema hayo? Mimi nilimsikiliza Kibwana Dachi , wewe umemsoma aliyeleta malalamiko, kwa hiyo mimi nazungumza baada ya kuzisikia pande zote mbili.

Sual la kuomba radhi ni suala la uungwana tu na kupisha malumbano na sio lazima awe amekosea. Kumbuka hili ni suala la kiimani, Kibwana Dachi sio Mkristo, kwa hiyo sio rahisi kueleweka na Wakristo.

Vv

Yeye ndiye aliyeileta humu hiyo mada,hebu rudi mwanzo wa uzi ujue ni nani aliyeileta hii mada
 
Genta, ulimsikiliza Kibwana aliposema hayo? Mimi nilimsikiliza Kibwana Dachi , wewe umemsoma aliyeleta malalamiko, kwa hiyo mimi nazungumza baada ya kuzisikia pande zote mbili.

Sual la kuomba radhi ni suala la uungwana tu na kupisha malumbano na sio lazima awe amekosea. Kumbuka hili ni suala la kiimani, Kibwana Dachi sio Mkristo, kwa hiyo sio rahisi kueleweka na Wakristo.

Vv
Mkuu hata katika huo ujumbe wake wa kuomba radhi bado anapotosha/anawakosea wakatoliki. Kwa nini anajifanya mjuaji kutolea maelezo kwenye radio kitu ambayo hakifahamu vizuri. Nisome katika post #118
 
Leo Katika Kipindi Chao Cha Morning Magic Kinachorushwa Na Radio Ya Magic FM Akiwa Na Mtangazaji Muongozaji Wao Orest Kawau, Maria Edward Na Salum Mkambala Huyu Mtangazji Mzee Kibwana Dachi Tena Katika Hali Ya Kujiamini Kana Kwamba Yeye Anayajua Mambo Ya Dhehebu La WAKATOLIKI Huku Akiwa Anatoa UFAFANUZI Kwa Kuhusiana Na Moshi Mweupe Na Mweusi Ambao Huwa Unatoka Wakati Makadinali Duniani Wakiwa Katika Mchakato Wa Kumtafuta PAPA.l

Yeye KIBWANA DACHI Tena Kwa Mbwembwe Zote Na Akitamka Kabisa Kwa Wenzake Namnukuu ;

" Jamani Hili Halina Ubishi Wala Usiri Na Nasema Ukweli Kuhusiana Na Hili Jambo Ambapo Ni Kwamba Duniani Kote Hakuna Kanisa Ambalo LINAAMINI USHIRIKINA Kushinda Yote Kama La WAKATOLIKI " Mwisho Wa Kumnukuu.

Na Bahati Nzuri Hiyo Kauli Yake Naamini Hata Watu Wa TCRA Watakuwa Wameirekodi.

Nikiwa Kama Mmoja Wa WAKATOLIKI Tena NILIYETUKUKA Kabisa Nawaomba Upesi Na Haraka Sana Mabosi Zake Hawa Watutake Radhi WAKATOLIKI Wote Tanzania

  • Dina Chahali
  • Dativas Mango
  • Nicky Ngonyani
  • Orest Kawau

Kisha Na Yeye Mwenyewe KIBWANA DACHI Kupitia Radio Yake Hiyo Hiyo Anayoifanyia Kazi Ya Magic FM Na Kwa Ukubwa Na Umuhimu Ule Ule ATUOMBE RADHI Sisi WAKATOLIKI Wote Nchini Tanzania Kabla Na Sisi Hatujachafua Hali Ya Hewa Kuanzia Kwa Dini Yake ( Ambayo Tunaijua ), Alichokifanya Mzee Wake Wakati Akiwa Afisa Mwandamizi Wa Jeshi La Polisi, Maisha Yake Binafsi Na Bila Kusahau Na AFYA YAKE Kiujumla.

AMETUDHALILISHA KULIKOTUKUKA SISI WAKATOLIKI WOTE NCHINI TANZANIA Na DUNIANI KWA UJUMLA. Na Najua Humu JF Yupo Na Hata Hao Mabosi Zake Niliowataja Hapo Na Wafayakazi Wenzake Wapo Humu Naomba Wamtaarifu Na ATUTAKE RADHI UPESI Na HARAKA Kabla Watu HATUJAFUNGUKA Na KUFUNGUKA Juu Yake Kwa Tunayoyajua.

====

JAMIIFORUMS
: Tumepokea ujumbe kutoka kwa Kibwana Dachi kuhusiana na hili suala. Ujumbe wenyewe ni huu hapa;

Mi naamini Kibwana Dachi alikuwa na hoja yenye kuhitaji mjadala amekosea tu kuiwasilisha na naamini pia ameomba msamaha ili yaishe baada ya kuona mihemuko ya watu ilivyo mikali na hasa pale wengine walopoamua kutaka kuacha hoja na kubadili maisha yake binafsi. Mimi nimekuwa nikijiuliza ule utaratibu wa kuyapa makanisa majina kwa kile kitu ambacho hufanyika je ule si ushirikina? Ule utaratibu una uhusiano gani na Mungu
 
Leo Katika Kipindi Chao Cha Morning Magic Kinachorushwa Na Radio Ya Magic FM Akiwa Na Mtangazaji Muongozaji Wao Orest Kawau, Maria Edward Na Salum Mkambala Huyu Mtangazji Mzee Kibwana Dachi Tena Katika Hali Ya Kujiamini Kana Kwamba Yeye Anayajua Mambo Ya Dhehebu La WAKATOLIKI Huku Akiwa Anatoa UFAFANUZI Kwa Kuhusiana Na Moshi Mweupe Na Mweusi Ambao Huwa Unatoka Wakati Makadinali Duniani Wakiwa Katika Mchakato Wa Kumtafuta PAPA.

Yeye KIBWANA DACHI Tena Kwa Mbwembwe Zote Na Akitamka Kabisa Kwa Wenzake Namnukuu ;

" Jamani Hili Halina Ubishi Wala Usiri Na Nasema Ukweli Kuhusiana Na Hili Jambo Ambapo Ni Kwamba Duniani Kote Hakuna Kanisa Ambalo LINAAMINI USHIRIKINA Kushinda Yote Kama La WAKATOLIKI " Mwisho Wa Kumnukuu.

Na Bahati Nzuri Hiyo Kauli Yake Naamini Hata Watu Wa TCRA Watakuwa Wameirekodi.

Nikiwa Kama Mmoja Wa WAKATOLIKI Tena NILIYETUKUKA Kabisa Nawaomba Upesi Na Haraka Sana Mabosi Zake Hawa Watutake Radhi WAKATOLIKI Wote Tanzania

  • Dina Chahali
  • Dativas Mango
  • Nicky Ngonyani
  • Orest Kawau

Kisha Na Yeye Mwenyewe KIBWANA DACHI Kupitia Radio Yake Hiyo Hiyo Anayoifanyia Kazi Ya Magic FM Na Kwa Ukubwa Na Umuhimu Ule Ule ATUOMBE RADHI Sisi WAKATOLIKI Wote Nchini Tanzania Kabla Na Sisi Hatujachafua Hali Ya Hewa Kuanzia Kwa Dini Yake ( Ambayo Tunaijua ), Alichokifanya Mzee Wake Wakati Akiwa Afisa Mwandamizi Wa Jeshi La Polisi, Maisha Yake Binafsi Na Bila Kusahau Na AFYA YAKE Kiujumla.

AMETUDHALILISHA KULIKOTUKUKA SISI WAKATOLIKI WOTE NCHINI TANZANIA Na DUNIANI KWA UJUMLA. Na Najua Humu JF Yupo Na Hata Hao Mabosi Zake Niliowataja Hapo Na Wafayakazi Wenzake Wapo Humu Naomba Wamtaarifu Na ATUTAKE RADHI UPESI Na HARAKA Kabla Watu HATUJAFUNGUKA Na KUFUNGUKA Juu Yake Kwa Tunayoyajua.

====

JAMIIFORUMS
: Tumepokea ujumbe kutoka kwa Kibwana Dachi kuhusiana na hili suala. Ujumbe wenyewe ni huu hapa;

bado amekosea. moshi mweupe au mweusi ni matokeo ya kura kutosha au la, ndipo huchoma hicho wachomacho kuashiria aina ya matokeo
 
Wewe unayetaka kuombwa radhi sio mkatoliki, wakatoliki hatuna hayo mambo. Cha msingi kamwambie huyo kibwana dachi aongeze na mengine zaidi. Tunaishi kwa imani na yesu alisema wapendeni adui zenu na akupigaye shavu la kushoto mgeuzie la kulia.
 
Wewe siyo Mkatoliki wa dhati! Alicholeta mtoa mada ni njia mojawapo ya Kibwana kukiri kosa na kuomba radhi! Kibwana kaomba radhi na kama imetoka moyoni na Mungu amemsamehe! Mtoa mada amemsaidia Kibwana mbele ya Mungu! Wewe unayekaa kimya ungemsaidiaje Kibwana??? Tafakari Ukristo wako; ni wa uoga na ubinafsi!
 
Soma Alichokiandika Member kapotolo Hapo Juu Kisha Utaelewa Nini Kibwana Dachi Alikisema Jana. Halafu Naomba Kukuuliza; Kama Mimi Mleta Mada Unadai Nimemsingizia, Je, Imekuwaje Ameomba Radhi Kwetu Jana Kwa Maandishi Na Amefanya Tena Hivyo Leo Katika Kipindi Chao?

Sijajiita Gentamycine Bure au Kwa Kukurupuka Na Najua Nini Nafanya.

Binafsi nilikuwa naye Juzi na Mimi ndiyo nilimuunganisha na wahusika wa Jamiiforums, Ili kurekebisha kauli yake baada ya kukiri kwamba amekosea.
 
Back
Top Bottom