vivian JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,749 Reaction score 1,002 Apr 25, 2013 #41 single but looking
Paloma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 5,331 Reaction score 4,956 Apr 25, 2013 #42 Mentor said: Hahah nilijua tu...ulikataa nisiku-drive mimi!!! afu nakupigia weeeeeeee......ama ulizima hapo hapo!?? Click to expand... sikuamini sana kwenye usukani.................license yako nna mashaka nayo ni zile za kina "hassan" ila habari ndio hiyo!!!
Mentor said: Hahah nilijua tu...ulikataa nisiku-drive mimi!!! afu nakupigia weeeeeeee......ama ulizima hapo hapo!?? Click to expand... sikuamini sana kwenye usukani.................license yako nna mashaka nayo ni zile za kina "hassan" ila habari ndio hiyo!!!
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,414 Apr 25, 2013 #43 Mrembo by Nature said: Natangaza kuachana rasmi na kidumu changu Mentor. Copy kwa sacos nzima ya Mentor, AshaDii, Erickb52,n.k Click to expand... sasa Mrembo by Nature nafasi hiyo ilomshinda mangi Mentor nikabidhi mimi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mrembo by Nature said: Natangaza kuachana rasmi na kidumu changu Mentor. Copy kwa sacos nzima ya Mentor, AshaDii, Erickb52,n.k Click to expand... sasa Mrembo by Nature nafasi hiyo ilomshinda mangi Mentor nikabidhi mimi
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Apr 25, 2013 #44 Bora umeandika huku ataliwazwa na jumbe mbalimbali, kuliko ungemwacha kimyakimya
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Apr 25, 2013 #45 vivian said: single but looking Click to expand... you mean it?
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,231 Apr 25, 2013 #46 Mrembo by Nature said: Natangaza kuachana rasmi na kidumu changu Mentor. Copy kwa sacos nzima ya Mentor, AshaDii, Erickb52,n.k Click to expand... http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpag e&v=YtkTgvrdRf0 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mrembo by Nature said: Natangaza kuachana rasmi na kidumu changu Mentor. Copy kwa sacos nzima ya Mentor, AshaDii, Erickb52,n.k Click to expand... http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpag e&v=YtkTgvrdRf0
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Apr 25, 2013 #47 Erickb52 ndo chanzo cha kifo cha kila ndoa humu Madame B tuletee kile kikundi chetu cha msuto. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,160 Apr 25, 2013 Thread starter #48 vivian said: Mrembo by Nature Nakuonea huruma huyu nilimshindwa zamani. yaani wanaume wengine utafikiri gunia la misumari Click to expand... Habebeki nimetua
vivian said: Mrembo by Nature Nakuonea huruma huyu nilimshindwa zamani. yaani wanaume wengine utafikiri gunia la misumari Click to expand... Habebeki nimetua
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,160 Apr 25, 2013 Thread starter #49 C6 said: sasa Mrembo by Nature nafasi hiyo ilomshinda mangi Mentor nikabidhi mimi Click to expand... Niko kwenye window period, nitatangaza hivi karibuni ili mje mlete CV zenu niangalie nani ananifaa.
C6 said: sasa Mrembo by Nature nafasi hiyo ilomshinda mangi Mentor nikabidhi mimi Click to expand... Niko kwenye window period, nitatangaza hivi karibuni ili mje mlete CV zenu niangalie nani ananifaa.
J joe peters Member Joined Dec 16, 2010 Posts 85 Reaction score 18 Apr 25, 2013 #50 bali kumbuka hawara hana talaka
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,414 Apr 25, 2013 #51 Mrembo by Nature said: Niko kwenye window period, nitatangaza hivi karibuni ili mje mlete CV zenu niangalie nani ananifaa. Click to expand... mie ni handsome by nature, hutajutia maamuzi yako, muulize charminglady Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mrembo by Nature said: Niko kwenye window period, nitatangaza hivi karibuni ili mje mlete CV zenu niangalie nani ananifaa. Click to expand... mie ni handsome by nature, hutajutia maamuzi yako, muulize charminglady
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,160 Apr 25, 2013 Thread starter #52 C6 said: mie ni handsome by nature, hutajutia maamuzi yako, muulize charminglady Click to expand... Naogopa, bado Mentor yuko mawazoni kwangu, nashindwa kumtoa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
C6 said: mie ni handsome by nature, hutajutia maamuzi yako, muulize charminglady Click to expand... Naogopa, bado Mentor yuko mawazoni kwangu, nashindwa kumtoa
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,414 Apr 25, 2013 #53 Mamndenyi said: Erickb52 ndo chanzo cha kifo cha kila ndoa humu Madame B tuletee kile kikundi chetu cha msuto. Click to expand... hahahaaa hata mimi alihusikaga kuiparaganyisha ndoa yangu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Erickb52 ndo chanzo cha kifo cha kila ndoa humu Madame B tuletee kile kikundi chetu cha msuto. Click to expand... hahahaaa hata mimi alihusikaga kuiparaganyisha ndoa yangu
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,414 Apr 25, 2013 #54 Mrembo by Nature said: Naogopa, bado Mentor yuko mawazoni kwangu, nashindwa kumtoa Click to expand... mangi shamba lishamshinda, ngoja walime wenzie, nipe mikoba Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mrembo by Nature said: Naogopa, bado Mentor yuko mawazoni kwangu, nashindwa kumtoa Click to expand... mangi shamba lishamshinda, ngoja walime wenzie, nipe mikoba
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,160 Apr 25, 2013 Thread starter #55 C6 said: mangi shamba lishamshinda, ngoja walime wenzie, nipe mikoba Click to expand... Mimi sipendi kusumbuliwa na nyie wanaume, niacheni kwanza khaa
C6 said: mangi shamba lishamshinda, ngoja walime wenzie, nipe mikoba Click to expand... Mimi sipendi kusumbuliwa na nyie wanaume, niacheni kwanza khaa
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Apr 25, 2013 #56 Mamndenyi said: kahamia kwa baba mchungaji Excellent, sitaki kuamini kama siyo kuruka majivu na kukanyaga moto. Click to expand... lazima atakaa kwenye line maana nitakuwa naendesha mapenzi kwa sala.
Mamndenyi said: kahamia kwa baba mchungaji Excellent, sitaki kuamini kama siyo kuruka majivu na kukanyaga moto. Click to expand... lazima atakaa kwenye line maana nitakuwa naendesha mapenzi kwa sala.
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Apr 25, 2013 #57 vivian said: Mrembo by Nature Nakuonea huruma huyu nilimshindwa zamani. yaani wanaume wengine utafikiri gunia la misumari Click to expand... vivian....why always me! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
vivian said: Mrembo by Nature Nakuonea huruma huyu nilimshindwa zamani. yaani wanaume wengine utafikiri gunia la misumari Click to expand... vivian....why always me!
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Apr 25, 2013 #58 Mrembo by Nature said: Naogopa, bado Mentor yuko mawazoni kwangu, nashindwa kumtoa Click to expand... Just know that you don't have to go.
Mrembo by Nature said: Naogopa, bado Mentor yuko mawazoni kwangu, nashindwa kumtoa Click to expand... Just know that you don't have to go.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Apr 25, 2013 #59 Judgement said: Mmmh ! Click to expand... Unaguna nini sasa na wewe?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Apr 25, 2013 #60 Mamndenyi said: Erickb52 ndo chanzo cha kifo cha kila ndoa humu Madame B tuletee kile kikundi chetu cha msuto. Click to expand... Hahahaaaa Mi sio muhusika Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mamndenyi said: Erickb52 ndo chanzo cha kifo cha kila ndoa humu Madame B tuletee kile kikundi chetu cha msuto. Click to expand... Hahahaaaa Mi sio muhusika