Kibuti

Afadhali wamepungua maana mwanaume aso na haya kunilundikia wanawake ndani ya kachumba kamoja ndo nn mie sipumui leo kaenda kwa vivian, kesho kwa Mrembo by Nature, kesho kutwa kwa secretary, mtondo gooo kwa Smile ilimradi ni vitimbi tu ndani ya nyumba sasa naona heshima yangu itaendelea kwani maombi ya mfungo wa SIku tatu naona yameshanza kuleta matunda bado hao wengine, kwanini mm anitese YANI ASHINDWE NA KULEGEA HY
 
Last edited by a moderator:
Huu sasa Mzaha! Sie kwetu hakunaga kuachana kabisaa! FUTA mawazo....

Haya where is my beloved brother Mentor aje anieleze huyu mrembo kamkwaza nini? :eyeroll1:
 
Last edited by a moderator:
Huu sasa Mzaha! Sie kwetu hakunaga kuachana kabisaa! FUTA mawazo....

Haya where is my beloved brother Mentor aje anieleze huyu mrembo kamkwaza nini? :eyeroll1:


Huyo alikuwa hawala tu mwenye mume ni ladyfurahia ndo maana bidada ameamua kusepa mapema!
Nahisi pia maombi ya ladyfurahia yamejibu coz hakupendezwa kabisa na tabia ya mumewe kumrundikia smolo hausi wengi. Ndo sasa unaona wanaanza kuondoka mmoja baada ya mwingine.
 
Last edited by a moderator:

Duh... Inabidi nitoke huku kijijini nije home naona mambo yanaharibika! Kwanini asioe wote wawili? Kwani ladyfurahia na Mrembo by Nature hawaelewani kama mimi na gfsonwin tunavyoelewana?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kahamia kwa baba mchungaji Excellent,
sitaki kuamini kama siyo kuruka majivu na kukanyaga moto.

We ishakula kwako na mwambie AshaDii mitala ipo ila sio kwa dada yangu ladyfurahia na hivi ninavyoongea keshahamia zake Airtel kwa@excellent na hana wazo la kurudi kwenye MAHABA SACCOS
 
Last edited by a moderator:
ayaaa.. Mentor ushakula kibuti tayar..af na saccos?..duh!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…