Kibubu a.k.a bank ya kienyeji

Kibubu a.k.a bank ya kienyeji

Sina hio video labda muhusika aliyeileta anayo
Inasomeka hivyo.
Screenshot_2019-01-30-13-44-31.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa sisagani shosti potea kwenye nyuzi zangu pumbavu
Unanizimika kwa sana wewe.

Hilo halina ubishi.

Mimi sina noma wala nini.

Yaani sichagui, usiogope ukaona labda nitakutosa.

Hapana, Mimi siwezi kukutosa, naanguka na wewe bila hiyana.

MADEREVA huwa hawachagui, mimi ukiniweka kwenye USUKANI mbona utafika salama mpaka mwisho wa safari yako
 
Unanizimika kwa sana wewe.

Hilo halina ubishi.

Mimi sina noma wala nini.

Yaani sichagui, usiogope ukaona labda nitakutosa.

Hapana, Mimi siwezi kukutosa, naanguka na wewe bila hiyana.

MADEREVA huwa hawachagui, mimi ukiniweka kwenye USUKANI mbona utafika salama mpaka mwisho wa safari yako
 
Kama mtu anaweka laki 3 alafu mwisho wa siku akiingia kwenye ATM baada ya miezi 4 anakuta 270,000, kwanini asiweke kwenye kibubu na kumbuka mwananchi huyo ukimweleza issue ya mzunguuko wa hela wala hakuelewi na mbaya zaidi amekuwa mteja wa bank kwa vihela visivyozidi kiasi hicho na ameomba mkopo akaonekana hajakidhi vigezo (lazima kibubu kitamhusu)
Hivi ninyi mnaoweka hela kwenye kibubu hamuoni kuwa mnablock mzunguko wa hela!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiogope Numbisa

Nipo nimejaa tele.

Tatizo lako nikitoka ndio unajifanya unanitafuta..

Haya nipo hapa Numbisa, tuongee
 
Back
Top Bottom