Kibubu a.k.a bank ya kienyeji

Kibubu a.k.a bank ya kienyeji

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,981
Reaction score
1,252,292
Kama una picha ya kibubu tupia hapa
49426802_1262030173945825_1777084254625465783_n.jpg
 
Hahahahaa aiseee nyundo tena.ila usipokua mvumilivu au msahaulifu kibubu kazi sana kukitunza. Mfano kila ukiweka pesa unahesabu hapo unaua maana nzima ya kibubu
🤣🤣🤣🤣Nawapa hongera kwa kweli nakumbuka enzi niko school niljalibu hii njia nilivumilia siku mbili tu ya tatu nyundo juu ya kibubu, kwanza nilikuwa kama mtumwa mda mwingi naenda kuchungulia je kipo salama.
 
Hahahahaa aiseee nyundo tena.ila usipokua mvumilivu au msahaulifu kibubu kazi sana kukitunza. Mfano kila ukiweka pesa unahesabu hapo unaua maana nzima ya kibubu
🤣🤣🤣🤣Hiyo njia ya kibubu kama nilishindwa enzi zile sina majukumu now siwezi kabisaaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawapa hongera kwa kweli nakumbuka enzi niko school niljalibu hii njia nilivumilia siku mbili tu ya tatu nyundo juu ya kibubu, kwanza nilikuwa kama mtumwa mda mwingi naenda kuchungulia je kipo salama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakwambia utajizungusha humo ulipo Weka kibubu bila sababu huku ukiwa unachungulia kwa mbali halafu shida ndogondogo zinakuja kipindi hicho.
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana aisee mwisho wa siku unajikuta umehesabu hadi senti ya mwisho iliyopo kwenye kibubu na bajeti umepangia, kuna maana ya kibubu tena hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom