Steven Nguma
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,072
- 1,148
Best huu utaratibu ulisha nishinda kwakweli😎Kama una picha ya kibubu tupia hapaView attachment 1004671
Best huu utaratibu ulisha nishinda kwakweli😎Kama una picha ya kibubu tupia hapaView attachment 1004671
hahahahaaahadi raha kudadeki
Karibia tutaambiwa tukavirejiste BOT!Kama una picha ya kibubu tupia hapaView attachment 1004671
😀😀😀😛🤣🤣🤣🤣Nawapa hongera kwa kweli nakumbuka enzi niko school niljalibu hii njia nilivumilia siku mbili tu ya tatu nyundo juu ya kibubu, kwanza nilikuwa kama mtumwa mda mwingi naenda kuchungulia je kipo salama.
Nitakutembelea Mkuu
Ukifwa unaenda MbinguniBaada ya sitiresi unakufwa
Huu upumbavu naujutia sana kipindi niko mdogo nilkua najiuzia ice cream na barafu then natupiamo kwenye kibubu changu asee siku ya siku kuna uncle wangu mse.nge akapita nacho hela yote kaenda kujipasua bar na malaya nililia sana ilibidi dingi anipoze na elfu 10!
Khaa pole mkuuHuu upumbavu naujutia sana kipindi niko mdogo nilkua najiuzia ice cream na barafu then natupiamo kwenye kibubu changu asee siku ya siku kuna uncle wangu mse.nge akapita nacho hela yote kaenda kujipasua bar na malaya nililia sana ilibidi dingi anipoze na elfu 10!
Daah mkuu hata buku tano sipati😱Nshapeleka BOT kwa uhakiki zaidi
Bila shaka mwenye hivyo Vibubu ni Konda wa Daladala.
Na mnaofinance heavy project hamjui kama mnatoe hela nyingi sana zinaondoka nchini.Hivi ninyi mnaoweka hela kwenye kibubu hamuoni kuwa mnablock mzunguko wa hela!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunaonunua eropleni kwa tasilimu ee?Na mnaofinance heavy project hamjui kama mnatoe hela nyingi sana zinaondoka nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu upumbavu naujutia sana kipindi niko mdogo nilkua najiuzia ice cream na barafu then natupiamo kwenye kibubu changu asee siku ya siku kuna uncle wangu mse.nge akapita nacho hela yote kaenda kujipasua bar na malaya nililia sana ilibidi dingi anipoze na elfu 10!
Daah aisee usinifanyie ivyo mkuuNini buku tano hata jero hupati
Mabenki yenyewe kila siku yanaongeza charges kwa hela niliyoweka kwao na siku nikitaka kuzichukua wanaripoti polisi kuwa kuna mtu anachukua hula nyingiHivi ninyi mnaoweka hela kwenye kibubu hamuoni kuwa mnablock mzunguko wa hela!?
Sent using Jamii Forums mobile app