Kibubu a.k.a bank ya kienyeji

Kibubu a.k.a bank ya kienyeji

Sisi tunaonunua eropleni kwa tasilimu ee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah nyie nyie in short tujiandae kutembelea Rim baada ya 2020 kwa sababu hali ya nchi kwa sasa ni mbaya mno watu wanatia huruma,watu tudhulumiana fedha,kila mtu anamuona mwenzie labda ana afadhali,watu hatusaidiani tena kila mtu anamuona mwenzie ni kero tumefikia hatua ya kuogopana kusalimiana,Wanaume tumeanza kupoteza nguvu za kiume kwa ajili ya ku over thinking,Nyumbani migogoro imrlezidi tena isiyo na kichwa wala miguu,Vituoni mwa polisi kumejazana vijan na wazee wenye kesi za kiwehu wehu kuonesha mtaani ni tafarani i mean wote wakionekana wakipigania mkate wao wa kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imevumbuliwa baada ya miaka
Yaani unakusanya na kudunduliza ukiwa na mipango kibao halafu UNAKUFA
a6e8ab4a3c26e86563220cf583189916.jpg


Sent from my SM using Tapatalk
 
JE, KUNA 'VIBUBU' VILIVYOUNGANISHWA NA CHUMA ULETE? - Mdau anasema rafiki yake alinunua kifaa cha kuhifadhia fedha maarufu kama 'kibubu' na kuanza kujiwekea akiba kwa matumizi ya baadaye - Rafiki yake huyo alikuwa anaweka 10,000/=, 20,000/= na hata 30,000/= kila siku hakuwa akiweka chini ya hapo - Lakini katika hali ya kushangaza siku ya kubomboa 'kibubu' hicho ili achukue fedha yake hakukuta kitu.
 
Mbaya sana hio,ukute alikua na familia ikateseka wee madeni tele kumbe kuna hela zimefichwa mahali pasipojulikana
Kweli umewaza mbali.

Halafu baada ya miaka kibao anakuja chimba mtu tofauti
Na ndugu waliisha kufa zamani na njaa


Sent from my SM using Tapatalk
 
Back
Top Bottom