baby zu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,946
- 5,040
Lakini madereva wanawake hua wapo makini sana barabarani. Hope atafika salama.Madam
Lakini madereva wanawake hua wapo makini sana barabarani. Hope atafika salama.Madam
Ila tulikueleza ulipokuwa ukisifia, nikiwaita wakurupukaji nyote anti JPM nakosea?Inawezekana U turn hapa? Maana tukiendelea kwa speed yeyote ile tunaanguka
Kazi ya kuendesha gari iendelee hakuna kurudi nyuma !Dereva arudi nyuma kwa reverse atuokoe.
Hamna uwezekano huo wa ku U turn hapo tumesha changanya madesa ni kusikilizia maumivu tu sasa 😳 😳 😳 😳Inawezekana U turn hapa? Maana tukiendelea kwa speed yeyote ile tunaanguka
Kila kitu hana akiendelea kuupiga mwingi atajifunga goliMama anaupiga mwingi, ila hana bunge hana washauri wenye nia nzuri, hana kabineti nzuri, kashindwa kuamua maamuzi magimu.
Huyo kipanya asituambie dereva hajulikani?Namchungulia dereva ni nani,