Kuja jamaa hata jukwaani anasignature yake insema "Ukiona ndoto zako hazijatimia endelea kulala" sasa hawa vilaza wa mulugo waendelee kulala tu wakisubiria kubebwa na Division V. Eti ni professa kabisa kaamua iwe hivyo. Mimi nilidhani division IV itafutwa na kuchanganywa na zero ili watu wasome kumbe wameiongezea credit!!!!!!!!!1 Jamani yewomiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! nisaidieni natafuta pakuhamia nihame hii nchi kabisaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.