naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Apr 28, 2015 #3 Huko ndio uswazi mkuu mswaki unapigwa nje barabarani huku anasalimia wapita njia kidari nje kafunga tenge la mkewe hata habari hana
Huko ndio uswazi mkuu mswaki unapigwa nje barabarani huku anasalimia wapita njia kidari nje kafunga tenge la mkewe hata habari hana
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,311 Apr 28, 2015 #4 Tuna jirani yetu hapa mtaani ana hii tabia yaani lazima mtaamka tu! Mpaka watoto wachanga wanaogopa sana inapofika saa jamaa anapiga mswaki!
Tuna jirani yetu hapa mtaani ana hii tabia yaani lazima mtaamka tu! Mpaka watoto wachanga wanaogopa sana inapofika saa jamaa anapiga mswaki!
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,612 Reaction score 18,996 Apr 28, 2015 #5 ndallo said: tuna jirani yetu hapa mtaani ana hii tabia yaani lazima mtaamka tu! Mpaka watoto wachanga wanaogopa sana inapofika saa jamaa anapiga mswaki! Click to expand... anafanyeje jamaa....?
ndallo said: tuna jirani yetu hapa mtaani ana hii tabia yaani lazima mtaamka tu! Mpaka watoto wachanga wanaogopa sana inapofika saa jamaa anapiga mswaki! Click to expand... anafanyeje jamaa....?
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,311 Apr 28, 2015 #6 kabanga said: anafanyeje jamaa....? Click to expand...
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Apr 28, 2015 #7 Jamani kuishi na watu kazi kubwa ni kuvumilia tu
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,396 Reaction score 19,355 Apr 28, 2015 #9 hahahhahahahaah aiseeee kuishi na watu yahitaji uvumilivu
Wamuhimu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 213 Reaction score 110 Apr 28, 2015 #10 Mhhhhh, uswazi bhana