Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,349 Jan 9, 2022 #1 Mibuyu ni miti inayoota huko Dodoma, ile kauli ilisema “Nimesikia huko Dodoma kwa akina Kassim….”. Mbuyu wa kwanza umeshang’olewa. Fuvu linaangalia lakini sasa halina kauli. Kwakifupi tu ninawasalimu kwa Jina la Muungano- Kazi iendelee.
Mibuyu ni miti inayoota huko Dodoma, ile kauli ilisema “Nimesikia huko Dodoma kwa akina Kassim….”. Mbuyu wa kwanza umeshang’olewa. Fuvu linaangalia lakini sasa halina kauli. Kwakifupi tu ninawasalimu kwa Jina la Muungano- Kazi iendelee.
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,668 Reaction score 13,868 Jan 9, 2022 #2 Huyu sasa si kipanya inabidi awe LIPANYA