Kibongobongo kumiliki milioni 100 kabla ya miaka 30

Heb tuambie, ni utajiri wa 100M au cash bank 100M

Kama utajiri wa 100M inawezeka akikaza na ukawa na nidhamu ya pesa,

Ukiweka 700k UTT kila mwez kwa miaka 6 unakuwa na kama 82M

Ko hio 18M ndo inabidi uwe na mali nyingine, it possible ila sio kazi rahisi,

Kwa maana inabidi uwe unakipato cha si chini ya 1.5M monthly toka una miaka 24,
Na ujue pia mifumo kama hiyo UTT, la sivyo atatafuta mchawi nani
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Good 🎯🎯🎯
 
Hao uliowataja kwenye paragraph ya pili karudie tena kufanya homework yako, hamna wenye mpunga hapo.

Unaelewa maana ya Net worth ?

Ukiambiwa Mo dewji ana utajiri wa trilioni moja. Unaelewa maana yake ? Ama unafikiri anazo hizo pesa trilioni moja cash ama bank

Tukianza na mwijaku gari zake mbili nissan dualis na alphard

Tuje kwenye nyumba yake anayojenga

Tuje kwenye mikataba ya dili alizosaini ina worth shilingi ngapi

Tuje kwenye kipato chake cha ajira yake clouds inaworth shiling ngapi ?

Kisha na assets zake zingine anazomiliki kama viwanja, mashamba , etc

Ukienda kwa mobetto nae kafanye hivyo hivyo.

Dili ya belaire unafikiri mobetto kafanya bure bila mkataba na malipo ?

Deal ya ku host sound city awards nigeria unafikiri mobetto kafanya bure ?

Dili ya nywele afropima unafikiri mobetto anafanya bure ?

Dili ya Tigo ile ya wakishua unafikiri mobetto kafanya bure.

RANGE ROVER ANAYOTEMBELEA YENYE PLATE NAMBA ZENYE JINA LAKE MOBETTO UNAFIKIRI RANGE ILE KAIOKOTA NA TRA WAMEMPA TU NAMBA ZENYE JINA LAKE BURE ?

Kwa taarifa yako dili moja tu ile ya tigo ya wakishua.. mobetto kalipwa milioni 57. Nenda kafanye upelelezi tigo uone mobetto , mario na millard ayo kila mmoja amelipwa bei gani ?

Milioni 100 sio net worth kubwa kwa vijana wenye nguvu mtandaoni kama hao niliowataja
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Daah aisee😭 maisha haya
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ukiwa unapenda kwenda na upepo
Unaweza jinyonga ukajua mim ni useless kabisa
But sawa lakin
Aaah wee hapana
Ila inawezekana
Ni PATHWAY TU

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
 
Khaaa jamani humu kuna watu waovyo sana,eti miaka 25 amiliki million 100,hii haiji kichwani kabisa je huyu kijana alimaliza chuo lini,jamani jamani tusilishane matango pori humu sisi sote tunajielewa huwezi miliki million 100 ukapoteza mda humu,kusema la kseli kwangu mimi namiliki nyumba 2,gari 1 pikipiki za boda boda 4 heka 50 huwa nashika million 30 tena nina miaka around 34
Badili mtazamo, fikiri upya.
 
Unaelewa maana ya Net worth ?

Ukiambiwa Mo dewji ana utajiri wa trilioni moja. Unaelewa maana yake ? Ama unafikiri anazo hizo pesa trilioni moja cash ama bank

Tukianza na mwijaku gari zake mbili nissan dualis na alphard

Tuje kwenye nyumba yake anayojenga

Tuje kwenye mikataba ya dili alizosaini ina worth shilingi ngapi

Tuje kwenye kipato chake cha ajira yake clouds inaworth shiling ngapi ?

Kisha na assets zake zingine anazomiliki kama viwanja, mashamba , etc

Ukienda kwa mobetto nae kafanye hivyo hivyo.

Dili ya belaire unafikiri mobetto kafanya bure bila mkataba na malipo ?

Deal ya ku host sound city awards nigeria unafikiri mobetto kafanya bure ?

Dili ya nywele afropima unafikiri mobetto anafanya bure ?

Dili ya Tigo ile ya wakishua unafikiri mobetto kafanya bure.

RANGE ROVER ANAYOTEMBELEA YENYE PLATE NAMBA ZENYE JINA LAKE MOBETTO UNAFIKIRI RANGE ILE KAIOKOTA NA TRA WAMEMPA TU NAMBA ZENYE JINA LAKE BURE ?

Kwa taarifa yako dili moja tu ile ya tigo ya wakishua.. mobetto kalipwa milioni 57. Nenda kafanye upelelezi tigo uone mobetto , mario na millard ayo kila mmoja amelipwa bei gani ?

Milioni 100 sio net worth kubwa kwa vijana wenye nguvu mtandaoni kama hao niliowataja
Hawana hiyo net worth, wewe kama unakubali mapicha basi sawa ila hawana hiyo net worth.
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Una utani wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni rahisi kama baba yako ni Jakaya au Rostam Azizi au ana affiliation na CCM Cartel ya mabilionea.

Kama umezaliwa pasipo na hela jiandae kuzeeka maskini mwenye nyumba ya 3 room na IST uwani. Wala sina haja ya kukupa moyo.
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
sina mengi ila Msalimiee baba na mama kama sio shemejii...unakatwaa
 
Kama mtu anajiunga leo anaweza kudhani jf ni mtandao wa mabilionea pekeyao...
Anyway ngoja nichukue madini hapa na mimi kabla sijafikisha 30 niwe nimepata zaidi ya hizo 😌
Hakuna lolote.

Watu wanalishana upepo tu hapa.

Kibongobongo kufikisha milioni mia chini ya miaka 30 ni ngumu kimtindo.

Katika vijana kumi unaweza kuta ni mmoja ndo mwenye hiyo pesa.

Tena huyo ni kijana wa mjini na mchakalikaji kwelikweli sio muuza madawa wala punda.

Kwenye nchi ambayo mtu mpaka anafika miaka 30 bado ana resit kutafuta C moja na D mbili kufikisha milioni mia moja sio mchezo.
 
Habari Wanajukwaa,

Ikiwa labda kwako haikuwezekana lakini ukiwa kama experienced person naamini kuna mengi umejifunza na kuna sehemu ushajua kwamba ulikosea, kwa mbinu zip na mikakat ipi utakayotumia kwa mwanao atakaokuja ukiwa kama baba kumuwezesha kuweza kuja kuwa tajiri endapo atakapokuomba umuongoze.

Kwa mikakati ipi utakayotumia na ushauri upi utakaompa kijana wako kuweza kumiliki milioni mia moja kabla ya kufikisha umri wa miaka 30.

JamiiForums, home of great thinkers.

Wote kwa pamoja tujifunze.
Swali la kusadikika
 
Kabisa.

Eti milioni mia kwa kijana chini ya miaka 30 wakati kwa umri huo wengine hata chuo kumaliza bado wengine ndo kwanza wanarisiti kutafuta C moja.

Watu sijui wanaichukuliaje milioni mia!
ni kakijana kalikobaleheee ambakoo kanaishi kwa baba yake kakiona mali zile kanahisi alilala akaama akazipataaa... ngoja siku kakose hata hela ya kula katajua maisha yapoje
 
Hakuna lolote.

Watu wanalishana upepo tu hapa.

Kibongobongo kufikisha milioni mia chini ya miaka 30 ni ngumu kimtindo.

Katika vijana kumi unaweza kuta ni mmoja ndo mwenye hiyo pesa.

Tena huyo ni kijana wa mjini na mchakalikaji kwelikweli sio muuza madawa wala punda.

Kwenye nchi ambayo mtu mpaka anafika miaka 30 bado ana resit kutafuta C moja na D mbili kufikisha milioni mia moja sio mchezo.
Eti ana resit kutafuta C moja na D moja😃😃,, nimecheka kama chizi jamani 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Habari Wanajukwaa,

Ikiwa labda kwako haikuwezekana lakini ukiwa kama experienced person naamini kuna mengi umejifunza na kuna sehemu ushajua kwamba ulikosea, kwa mbinu zip na mikakat ipi utakayotumia kwa mwanao atakaokuja ukiwa kama baba kumuwezesha kuweza kuja kuwa tajiri endapo atakapokuomba umuongoze.

Kwa mikakati ipi utakayotumia na ushauri upi utakaompa kijana wako kuweza kumiliki milioni mia moja kabla ya kufikisha umri wa miaka 30.

JamiiForums, home of great thinkers.

Wote kwa pamoja tujifunze.
Mi nitatuma yangu nikitulia
 
Back
Top Bottom