Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Sasa sim free ya nini? Popote napokwenda labda to the moon,hiyo No itafanya kazi.Enzi za kubadilibadili Sim haziko tena-hii no I have had it for many years-ni almost ID yangu-its not kama niko Bongo you just chuck away a sim card and look for another one
 
Hilo lilikuwa jibu kwa mleta mada.

Kama kila mtu atapenda kuwa na simu ya milioni mbili anaweza kuwa nayo.wewe hukuona umuhimu wa kununua bodaboda ila simu sawa,utaikodi ya mtu mwingine na simu yako mfukoni.swala la status ni mtizamo wa mtu.

Mwingine atakushangaa badala ya kukuhusudu kwamba iweje uko juu ya boda ya kukodi na una simu ya bei sawa nayo!!!!

The same to ather brand,kuwa na kisimu kibaya sio kwamba huna hela.mbunge msukuma amefunga simu yake rubberband.
 

Unasafiri sana kimataifa wewe?
 
Bora wewe umefunguka ukwel wako.. Kipato chako kikukua karibu kwenye ulimwengu wa iphone

Asante kwa kunikaribisha huko mkuu, kati ya magonjwa sikujaaliwa nayo ni haya magonjwa ya simu, nikiwa na simu inayokidhi mahitaji yangu ya, "internet (fast), display size ya 5.2' to 5.5, kioo kiwe na resolution ya 1080 x 1920 pixels, battery mAH 3000+"

Hapo na kuwa na kitochi, nina laptop, basi nimemaliza.
 
Sijui nikoje, stimu za simu za Bei zmenitoka kabisa
 
Hiyo ela ya mboga 1m naandika hapa wameingiza siku ya j3 tu within masaa 2 ukitaka mtafute ontario akuambie vijana wake wanafanya nin mda huu watu kwa siku wanaingiza mapesa kibao we endlea kufikiria stori za Salary
Yaani kama ni rahisi namna hii kuingiza pesa kama unatuma sms,basi maisha yamebadilika.

Si ajabu hata wewe umeingia unapiga malaki na mamilioni daily.
 
Yaani kama ni rahisi namna hii kuingiza pesa kama unatuma sms,basi maisha yamebadilika.

Si ajabu hata wewe umeingia unapiga malaki na mamilioni daily.

Hakuna maisha rahisi ndugu yangu ila ni namna unavotumia fursa zilizopo kufanya maisha yawe angalau
 
kitu Samsung baba. maPlaystore nini aaa hiyo sjui iTune tupa kule babu.
 
Simu zina Roaming capabilities no matter where you are the phone will work-naweza kuwa Hawaii nikafungua gate langu Spain
Nimekuuliza carrier wako nani, hujajibu.

Kwa hiyo hiyo simu yako ya bure inafanya kazi sehemu yoyote ile duniani na hata ukiwa out of network hakuna exorbitant roaming charges wala nini?

Clearly unaongea kama mtu ambaye huwa hasafiri sana kimataifa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Unlocked GSM
 
Exorbitant charges-it depends how you look at it-mimi naona its worth it.Provider wangu ni Movistar,part of the Telefonica group of companies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…