Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
I see.I phone inawatambulisha kama
Watoto wa get kali na apate
Kuonekana n level za juuu
Ndyo madem zetu tulioI see.
Hongera kwa kutumia iphone, wewe uko juuMimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno
Kutumia iPhone ni mafanikio?Washamba wa mafanikiio wengi wao ndyo hutumia iPhone
That's funnyMimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno
Zilizodurufiwa ndo zikoje?Wengi wao wanafikilia ivyo ndio maana wanauziwa ata zilizodurufiwa.
Kutumia iPhone ni mafanikio?
Yani kitendo cha kuianzisha thread hapa JF tayari ushaipa status ya juu kabisa,kwakweli iPhone mahaba yake sio ya nchi hii kwanza lile tunda pale nyuma wacha weeee,kingine ukishika mahala pako na watu wengi tayar watakupa status yako kua we sio mtu wa sport sport kingine ukianza tumia iPhone huwez acha ina levya zaidi ya cocaine TEAMAPPLE. Mahaba to the moon and back.
Ama kweli USA kiboko yao!!
Hiyo X [ten] tayari ninayo...GSM unlocked.“USA baeby” ngoja waje team nanhii watatema povu lote la wikiend wana moto mbaya ukitaja iPhone. Na twaisubiria kwa Hamu iPhone x