Kibongo bongo hii simu inauzwa maeneo gani?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Habari za mida hii wakuu katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na hii smatphone ambayo imenivutia

Tatizo linakuja sijui duka gan hapa Tanzania zinakouzwa na bei yake pia sijafahamu inasimamia shingap

Smartphone yenyewe inaitwa vivo Nex S
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    11.3 KB · Views: 55
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    33.8 KB · Views: 51

Similar Discussions

Back
Top Bottom