Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 757
[h=1]
[/h]
Mdada pichani kwa jina la Ulanda Williams mwenye miaka 32 na urefu wa futi 6-"5",alinusurika kufa baada ya kuanguka wakati akisubiria usafiri,aliamua kujificha pembeni ya jengo moja baada ya mvua kuanza kunyesha na pahala aliposimama ndipo pakaporomoka na kudumbukia chini,kazi ya kumtoa dada huyo mwenye uzito wa paundi -400 iliwachukua police na waokowaji 40 pamoja na kijiko kilichofungwa neti maalum ili kuweza kumtoa huko chini!
[/h]Mdada pichani kwa jina la Ulanda Williams mwenye miaka 32 na urefu wa futi 6-"5",alinusurika kufa baada ya kuanguka wakati akisubiria usafiri,aliamua kujificha pembeni ya jengo moja baada ya mvua kuanza kunyesha na pahala aliposimama ndipo pakaporomoka na kudumbukia chini,kazi ya kumtoa dada huyo mwenye uzito wa paundi -400 iliwachukua police na waokowaji 40 pamoja na kijiko kilichofungwa neti maalum ili kuweza kumtoa huko chini!