Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,501
- 93,054
Nimesoma kwa makini michango ya watu wote waliochangia tread hii, nilichogunduwa 90% mnampenda sana kibonde ndio maana mnaendelea kusikiliza redio ya Mashoga hiyo redio watu makini waliacha kuisikiliza miaka mingi iliyopita, ni sawa leo mtu hapa aje na hoja ya kulilalamikia gazeti la mtanzania au rai au uhuru wakati unajuwa ni mali ya mafisadi je akili yako ni kwa nini tusiitilie mashaka? leteni hoja za msingi hapa javini na sio viroja. by the way who is kibonde? nilitegemea mtu hapa alalamike kwamba larry king topic yake ya jana haikunifurahisha au kipindi cha hard talk cha bbc cha jana kilinifurahisha, wewe unaleta habari za redio za udaku hapa? ndio maana mada za JF siku hizi zimekuwa za hovyohovyo, maana kumbe tunaodhani ni magreat thinker hata magazeti wanayonununwa ni kiu, uwazi, ijumaa, ijumaawikienda, sani n.k. kazi ipo.