SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
Kwa maoni yangu sioni ubaya wowote ule yeye kutoa maoni yake. Hata wanaomponda humu nao wanatoa maoni yao na hakuna anayedai JF ifungwe au watu wazuiwe kutoa maoni yao. Kila siku humu watu wanatumia lugha kali dhidi ya CCM na hakuna anayepinga. Lakini thubutu kuisema CHADEMA uone.
Kwa hiyo asiyependa maoni ya Kibonde basi na azime Clouds FM na afungulie Radio One, Magic FM, East Africa radio, Times FM, na kadhalika kama vile asiyependa JF ana uhuru wa kwenda kwenye blogu ya Le Mutuz, Sintah, Mange, au hata Da Jamilla aka Jestina Joji.
kwa nini uiseme chadema we mbwiga?
Mbwiga baba'ako.
samahani basi wewe utakuwa mrs mbwiga.
Basi wewe utakuwa shoga.
sawa mimi shoga nae kula wewe shoga unaeliwa.
Uko sahihi kabisa NN. Tumechoka kila siku humu jamvini lazima kauli za kibonde zipewe attention....wakati mwingine mnampa mtu umaarufu ambao hana. Nimegundua pia kuwa wengi ni wasikilizaji wa hiyo Redio though kila mmoja anakataa kuwa alishaacha kuisikiliza.....sasa kama hamsikilizi ya kibonde mnayajulia wapi? Kama anawakera si radio zipo nyingi?
Mtu asiyekuwa tayari kusikia maoni ya mtu mwingine ni hatari sana na chanzo cha maafa katika jamii. Si lazima tukubaliane katika kila jambo. SIZE]
Ingekua ni waislam wameandamana, asingethubutu kutamka ivo. Sasa kwanini Huwa anapata akili wapi kwenye ishu za waislam?!
Alishawatukana wachungaji mfano kakobe, lakini kwa ponda hakufungua lidomo.
Kama wewe sio mgumu sana kuelewa utagundua mapema kabisa kwamba muktadha wa mjadala huu sio juu ya kibonde kukubaliana na mawazo ya wengine (wengi) au la. Ni jinsi ambavyo kibonde ana present maoni yake.
Huwezi kukaa redioni na kuwaita watu wapuuzi (kwa namna yoyote utakavyo define neno upuuzi). Kuna lugha za nyumbani na kazini, ndo maana hizi kazi zinasomewa.
Umesema mtu asiyekuwa tayari kukubali maoni ya mwingine ni hatari, basi na ninyi ni hatari maana hamkubaliani na maoni yetu.
Acheni kutiana ujinga. Samahani lakini...
Kumbe wewe unaelewa kuwa hayo ni maoni yake?? Aisee....
Tatizo unajadili kitu ambacho hajakitafakari vizuri. Sioni kama una tofauti na hao waandishi wa tz kama kibonde ambao kila siku wanasubiri huruma ya watawala waweze kukithi haja zao. Wananchi wa mtwara wana hoja ya msingi inayohitaji kujadiliwa na watu wenye mawazo na fikra huru sio kama wewe unayekurupuka. Mnawalisha wananchi wa mtwara maneno wa uongo bila sababu za msingi. Shame on you. Tafuta ukweli na ujadili mada hujui hacha wengine wakupe maneno. Kinachosababisha waandishi kama hawa wa Clouds FM kuact unprofessionally ni kwa sababu ya kutojiamini na kutegemea huruma ya watawala kuliko uwezo wa taaluma yao. Historia imeonesha kwamba waandishi wa habari pamoja na vyombo vyao hushiriki na serikali iliyoko madarakani kugandamiza uhuru wa raia na kuwanyima haki zao kwa kuwaziba midomo. Jikumbushe kilichotokea rwanda wakati genocide. Jikumbushe kesi ya kenya katika mahakama ya the Hughe. Waandishi wa habari na vyombo vyao kama Clouds FM na Startv ni aina vyenye ushirika na watawala kuziba midomo ya raia masikini ili waweze kuendelea kuwatawala kirahisi. Tafakari.
Mbwiga baba'ako.
samahani basi wewe utakuwa mrs mbwiga.
hahahahahahaha!kwani akili hana basi?anajichetua tu!hawezi leta huo 'upuuzi' wake mana kesho yake tu anaweza kujikuta sio yeye.Ingekua ni waislam wameandamana, asingethubutu kutamka ivo. Sasa kwanini Huwa anapata akili wapi kwenye ishu za waislam?!
Alishawatukana wachungaji mfano kakobe, lakini kwa ponda hakufungua lidomo.
great thinking betlehemunatakiwa utoe maelezo yote aliyoyatoa mpaka kufikia hilo neno upuuzi.au aliibuka tu nakusema watu wa mtwara wapuuzi kisha hapo ikawa ndo mwanzo na mwisho wa hoja yake?miongoni mwa mambo nsiyoyapenda ni pamoja na mtu kuchomoa neno moja au mawili kwenye habari ndefu halafu akaanza kulaumu au kuwashawishi watu wamlaumu mtu flani.mfano; kuna kipindi kikwete alisema "kuliko kutumia hela zote za serikali kulipa mishahara ya watumishi wa umma tu na kutofanya mradi wowote wa maendeleo na watu wengine wote ambao si watumishi wa umma wasipate chochoche kinachotokana na mapato ya serikali,ni bora kuto wapa malipo wanayotataka ili na mambo mengine yaeze kufanyika kwa maslahi ya wote.sasa kama kwa hili watasema hawatanipa kura 2010; ni bora wasinipe ila watu wote wanufaike na pato la taifa". kuna watu wakasema ; kikwete kasema "hataki kura za wafanyakazi" unaona maana inavyobadilishwa hapo?kwa hiyo tupe hoja yake kwa ujumla sio maneno mawili.