Kibonde wa Clouds anaharibu

Kibonde wa Clouds anaharibu

mimi uwa nashangaa watu humu ndani uwa wanadai hawamsikilizi kibonde na jahazi lakini nashangaa pia hao hao wanajua kila kitu anachoongea kwenye jahazi sasa sielewi wanajuaje ama wanamsikiliza sana lakini wanajipa moyo kwa kusema hawamsikilizi.
 
JBitungo,

It makes no sense to comment like a frustrated person. The agonised persons like yourself cannot, and will never, help in problem solving. Ulivyoanza, I thought you would come up with concrete views kuhusu tatizo lilipo. Ulianza kunipa moyo uliposema Wananchi wa Mtwara wana hoja ya msingi but to my dismay, you ended up agonising badala ya kusema ni hoja ipi na wewe unaisupport kwa misingi ipi. Nitakuwa mtu wa ajabu sana kama, pamoja na kusoma vizuri kama ulivyo wewe, nitashindwa kuyaelewa vizuri hayo mambo ya kesi ya Kenya na mauaji ya Rwanda. I thought ungeleta hoja zinazosema ni kwanini unaona wananchi wa Mtwara wana hoja ya msingi. Mimi naona wana hoja fake kwasababu wamebeba hoja ya vyama vya siasa blindly. Mimi, wewe na wengine wote tulioajiriwa, tunakatwa pesa nyingi sana kila mwezi mbona hatujawahi kusema pesa zetu zitumike kuwalipia walimu, manesi, mapolisi wa Dar tu? Inawezekana hata speech ya serikali ju ya hili la kuwa ule umeme utakua na outlets zitazazosaidia wananchi wa Mtwara kuweza kuufaidi, wewe haujaisoma. Instead, umeamua kuziba masikio yako and blindly throw lawama kwa watu. Kama hauna jibu la tatizo hili, basi na wewe ni sehemu ya tatizo. Wewe mwenye fikra huru, lete hoja kuwa ni kwanini unasema wananchi wa Mtwara wana hoja ya msingi na tuijadili. Kama huwezi kuleta, basi hatuna chakujadili and you are also part of the problem because you have not brought us a solution to the problem.
Bwaga moyo
I just need a simple logic to answer you in this thread. Wananchi wa mtwara na watz kwa ujumla wanajaribu kufunguka kutoka ktk mfumo wa YES boss. Wananchi wa mtwara wanataka kuwaambia watz kuwa enzi za kusubiri watawala waamue wanavyotaka wao na wananchi watekelezi bila kuhoji imepitwa na wakati. Ndugu yangu soma ibara ya 8 ya katiba ya jamhuri ya muungano inasema nini. Taifa hili limepoteza raslimali nyingi kwa mtindo wa kila kitu dsm na bado taifa limezidi kuwa masikini mbali ya utajiri mkubwa alokujalia mungu. Hatuwezi kuendelea na mawazo yaleyale ya mwaka 47 ya kila kitu dsm na mikoani kubaki watazamaji wakisuburi mgao kutoka dsm kwa bwana wakubwa! Wananchi wa mtwara na mikoa mingine yenye raslmali lukuki inahitaji kuwa na viwanda na miundo mbinu kama dsm ili nayo iweze kuchangia katika uchumi wa nchi kama ilivyo dsm. Nakubaliana nawe kuwa gesi au raslimali nyingine ni mali ya watz wote lkn ni lazima wananchi wanazunguka maeneo zinakozalishwa raslimali husika wawe namba moja ktk kufaidi raslimali na mapato yao. Ikiwa kama serikali ingelitambua hili mapema la kuhakikisha wananchi wanaozunguka raslimali hizi wanapewa kipaumbele kwanza taifa hili lingefuta umasikini kwa wananchi wengi huko vijijini kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na sasa. Njia mojawapo wa kukuza uchumi miongoni mwa wananchi wengi hasa vijijini ni kuwapelekea vitu kama viwanda huko waliko kuliko ilivyo sasa ya kila mtu lazima aje dsm kutafuta ajira. Tabia hii ya kila kitu dsm imeufanya mji wa dodoma kudumaa kwa muda mrefu sana huku serikali ikitoa ahadi za kuhamisha shughuli zake zote kwenda dodoma bila mafanikio.
 
Last edited by a moderator:
kwa nini uiseme chadema we mbwiga?

hv we unajua maana ya wapuzi kweli mtwara wapuuzi atoke hapo akawambie live nawe unamtetea ubongo wako ulishawahi cheza
unasema kutoa maoni ni pamoja na kutukana sheria za utangazaji na madili yake unazifahamu
 
kibonde mara zote huwa anavuka zile rules and traditions za utangazaji. Shida yake ni kuwa siku zote yeye huegemea upande wa serikali. Haijawai kutokea akatoa opinion yakuipinga serikali hata kama ni dhahiri kwa kila mmoja - hata kwa mtoto wa darasa la saba - kuwa serikali imekosea ktk jambo linalojadiriwa. Tatizo la watangazaji wetu - na hata wandishi walio wengi - ni kuwa wengi wao hawana ambitions zakukuwa ktk kazi zao. Wengi huitumia fani yao (uandishi na utangazaji) kama ngazi tu ya kuwapeleka kule watakako. Mpate mtangazaji kijana wa citizen tv ya kenya na ntv akimhoji kiongozi wa serikali, harafu pata picha ya yule mze wa kipindi cha dakika 45 cha itv naye akimhoji kiongozi wa serikali ndipo utakapoona tofauti ilivyo kubwa ktk career growth aspirations kati ya hawa wetu na wale wa wenzetu. Hapa kwetu utangazaji ni ngazi ya kumwezesha mtangazaji kujulikana ili wakubwa wampatie kazi na wakati kwa wenzetu utangazi ni kazi ya kumwezesha mtu kuishi vizuri na hivyo, anakuwa na hamu ya kujiendeleza kiutangazaji.

Hata hivyo, ktk hili binafsi nimekuwa upande wa kibonde. Kwa mara ya kwanza nipo upande wa serikali kwani naamini wananchi wa mtwara wamekurupuka na wanaendeshwa na interests za watu bila kujua. Rasilimali za tanzania ni za tanzania. Siyo za watu wa eneo zinakopatikana tu. Ndio maana wote tunalia mwishoni mwa mwezi na makato makubwa ya pay as you earn na pesa hizi hupelekwa kila sehemu ya nchi hii siyo dar tu.

cheni kupotosha watu hoja zenu za kuitetea serikali ktk hili,sio kweli kwamba wakazi wa kusini wanataka gesi ibaki kwao ili wafaidike na gesi pekee yao,malalamimko yao ni kwamba ile miradi ya gesi kama viwanda vya mbolea,vinu vya kufua umeme vijengwe huko ili kuchochea investments,employment na maendeleo kwa ujumla ktk eneo hilo,wametengwa saana tokea uhuru.wanataka serikali ianishe watafaidika vp na project hizo nilizotaja hapo juu.sio kweli kwamba wanataka mapato ya gesi yote yabaki huko,wanajua kabisa hii ni mali ya taifa kwa jumla.
 
Siyo wana Kusini. Ni watoto wa Mtwara mjini. Waliingia kichwa kichwa kwenye maandamano yenye nia yakupata umaarufu wakisiasa bila kufanya analysis ya matokeo ya agenda yao kwa jamii yenye maono tofauti. Hawakuweza kufanya analysis kujua malipo ya manesi, walimu, mapolisi pamoja na dawa wanazotumia mahospitalini, vitabu shuleni etc pale Mtwara mjini yanatoka wapi. Wangeweza kufanya hilo, wangepata kugundua kuwa pesa hizo kwa kiasi kikubwa hutokana na makato ya Pay as you earn ya watu wanaofanya kazi Tanzania popote pale na zaidi, wale wa Dar. Hilo lingeweza kuwafanya waelewe kuwa rasilimali za nchi hii ni za Watanzania wote na siyo wa eneo zitokako. Ngugu zangu hawa pia wangeweza kujua kuwa kwa vile mkopo wa ujenzi wa bomba hilo umetoka China at a very cheap price, then chances are that the force for them to say NO to the project, may have some western influences, kupitia vyama vilivyoamua kuwatumia. Kama wasomi, we have every reason to say NO to this type of Imperialism. Hayo ni miongoni tu mwa mambo ambayo wakazi wa Mtwara mjini na wale walioletwa kwa malori na vyama vya siasa waliyapuuzia. Besides, tumeambiwa mara kadhaa kuwa hawa ndugu zetu kwa sasa wana-surplus ya umeme by 5MW wakati sisi ndugu zao huku unakatikakatika kila siku, hivi, kuna shida gani kwa wao kutulea ndugu zao sisi ambao nasi ni Watanzania? Je, huu siyo uchoyo? Kama ni kazi, ni Mtanzania yupi anayekatazwa kwenda popote pale Tanzania kutafuta kazi au kusoma na akitaka kuhamishia ule utaalam alioupata kule alikozaliwa? Mimi ni mwenyeji wa Mbinga kule kusini ila naishi Dar na wewe pia inawezekana siyo mzaliwa wa Dar ila unaishi Dar. Jirani yangu hapa naye ni Mmachinga wa Mtwara mjini ila anaishi Dar. Dar ni ya Watanzania wote. Haya yote waliyapuuzia na wakatanguliza sera ya uchoyo blindly.

punguza jazba ndugu,kinu cha kuzalisha umeme kikifungwa mtwara na umeme kuingizwa kwenye grid ya taifa wewe wa dar utakosaje umeme?usirukie hoja,mapato ni ya serikali na wala watu wa mtwara hawana haja na mapato ya serikali,kuna mnajeria ALIKO DANGOTE anajenga kiwanda cha cement mtwara baada ya kuwa na uhakika na gesi hivyo ndio vitu vya msingi wananchi wa mtwara wanataka,wananchi wanataka uwekezaji kule kwani wamesahaulika kwa muda mrefu,kwa hiyo mtera ingekuwa inahamishika ungeileta dar?
 
Kibonde mara zote huwa anavuka zile rules and traditions za utangazaji. Shida yake ni kuwa siku zote yeye huegemea upande wa serikali. Haijawai kutokea akatoa opinion yakuipinga serikali hata kama ni dhahiri kwa kila mmoja - hata kwa mtoto wa darasa la saba - kuwa serikali imekosea ktk jambo linalojadiriwa. Tatizo la watangazaji wetu - na hata wandishi walio wengi - ni kuwa wengi wao hawana ambitions zakukuwa ktk kazi zao. Wengi huitumia fani yao (Uandishi na utangazaji) kama ngazi tu ya kuwapeleka kule watakako. Mpate mtangazaji kijana wa Citizen TV ya Kenya na NTV akimhoji kiongozi wa serikali, harafu pata picha ya yule Mze wa kipindi cha Dakika 45 cha ITV naye akimhoji kiongozi wa serikali ndipo utakapoona tofauti ilivyo kubwa ktk career growth aspirations kati ya hawa wetu na wale wa wenzetu. Hapa kwetu utangazaji ni ngazi ya kumwezesha mtangazaji kujulikana ili wakubwa wampatie kazi na wakati kwa wenzetu utangazi ni kazi ya kumwezesha mtu kuishi vizuri na hivyo, anakuwa na hamu ya kujiendeleza kiutangazaji.

Hata hivyo, ktk hili binafsi nimekuwa upande wa Kibonde. Kwa mara ya kwanza nipo upande wa serikali kwani naamini wananchi wa Mtwara wamekurupuka na wanaendeshwa na interests za watu bila kujua. Rasilimali za Tanzania ni za Tanzania. Siyo za watu wa eneo zinakopatikana tu. Ndio maana wote tunalia mwishoni mwa mwezi na makato makubwa ya Pay As You Earn na pesa hizi hupelekwa kila sehemu ya nchi hii siyo Dar tu.

Kila mtu anahuru wakutoa opinion yake. Hata Kibonde ana uhuru wakutoa opinion zakr but tatizo anapenda kugeneralize kama ndo the absolute truth.

Hili swala la gesi liko debatable na one way or the other people will take sides. Lakini kwa jinsi mara nyingi amekuwa so pro government inafanya hata anapotoa maoni yake kwenye swla kama hili watu wanaona kama anajaribu kujipendekeza kwa mara nyingine kwa serikali.

Ntakupa mfano.
Kuna siku kwenye jahazi walikuwa wanachambua habari. Wakasoma habari ya kesi ya mwinyi ambapo walinzi wa Mwinyi wakawazuia waandishi kuingia kwenye mahakama wakiwaambia hii kesi haiwahusu.

Ikaanza mabishano, i think ni Arnold Kayanda if am not mistaken akawa anasema wale walinzi wamewakosea heshima waandishi kuwazuia na kuwaambis kesi hii haiwahusu na sio wastaarabu.

Kibonde akawa anawatetea wale walinzi wa Mwinyi akisema they are right na akawaponda waandishi wenzake kuwa wengi wao hawajui proper way yakupata habari na hawakutakiwa kuwabishia wale walinzi walitakiwa tu wasubirie baadae wakaombe habari kistaarabu. Na nikweli ile habari haiwahusu.

The argument was so heated up, Kayanda akawaa anaanza kutoka mapovu mpaka anatumia maneno kama "upuuzi wa watu wausalama ambao no arrogants, wanajiskia kama ndo kila kitu"

Wakati hyo huo Kibonde anasema wale watubwa usalama ni very intelligent people sio wakuwadharau kabisa, wako trained, wanajua wanachofanya, kama wamesema vile then they had reasons"

My Point.
Kibonde alionesha udhaifu wakuwaabudu usalama. Alishindwa kutambua kuwa Mwinyi is a public figure. Anatunzwa na tax payers money.. Hence kama kuna kesi yake mahakani it is of public interest kujua kuhusu hiyo kesi.

Kayanda nae akashindwa kupresent kitu kama hiki akawa anang'ang'ania sio ustaarabu. (which hilo tatizo lao jingine level yao yakuchambua maswala mazito yanayo hitaji critical thinking ni mdogo sana, most of them ni entertainment commentators)
 
Siyo wana Kusini. Ni watoto wa Mtwara mjini. Waliingia kichwa kichwa kwenye maandamano yenye nia yakupata umaarufu wakisiasa bila kufanya analysis ya matokeo ya agenda yao kwa jamii yenye maono tofauti. Hawakuweza kufanya analysis kujua malipo ya manesi, walimu, mapolisi pamoja na dawa wanazotumia mahospitalini, vitabu shuleni etc pale Mtwara mjini yanatoka wapi. Wangeweza kufanya hilo, wangepata kugundua kuwa pesa hizo kwa kiasi kikubwa hutokana na makato ya Pay as you earn ya watu wanaofanya kazi Tanzania popote pale na zaidi, wale wa Dar. Hilo lingeweza kuwafanya waelewe kuwa rasilimali za nchi hii ni za Watanzania wote na siyo wa eneo zitokako. Ngugu zangu hawa pia wangeweza kujua kuwa kwa vile mkopo wa ujenzi wa bomba hilo umetoka China at a very cheap price, then chances are that the force for them to say NO to the project, may have some western influences, kupitia vyama vilivyoamua kuwatumia. Kama wasomi, we have every reason to say NO to this type of Imperialism. Hayo ni miongoni tu mwa mambo ambayo wakazi wa Mtwara mjini na wale walioletwa kwa malori na vyama vya siasa waliyapuuzia. Besides, tumeambiwa mara kadhaa kuwa hawa ndugu zetu kwa sasa wana-surplus ya umeme by 5MW wakati sisi ndugu zao huku unakatikakatika kila siku, hivi, kuna shida gani kwa wao kutulea ndugu zao sisi ambao nasi ni Watanzania? Je, huu siyo uchoyo? Kama ni kazi, ni Mtanzania yupi anayekatazwa kwenda popote pale Tanzania kutafuta kazi au kusoma na akitaka kuhamishia ule utaalam alioupata kule alikozaliwa? Mimi ni mwenyeji wa Mbinga kule kusini ila naishi Dar na wewe pia inawezekana siyo mzaliwa wa Dar ila unaishi Dar. Jirani yangu hapa naye ni Mmachinga wa Mtwara mjini ila anaishi Dar. Dar ni ya Watanzania wote. Haya yote waliyapuuzia na wakatanguliza sera ya uchoyo blindly.

"Kaka hakuna kitu kama Mkopo at very cheap price when you have not seen the terms of contract. "

Wewe unaamini kama "vijana wa Mtwara mjini wameingia kichwa kichwa"

Kama kweli unataka tupate ukweli Mimi ningekuomba list advantages za gesi kuja dar na mimi ni post list ya advantages za gesii kubaki mtwara and compare tuone.
 
ni kweli ana uhuru wa kutoa maoni yake sasa hata hawa jamaa wanaomkodi kuwa mc kwenye shughuli zao ,hasa ccm kwenye baadhi ya shughuli zao nimemuona akiwa mc sasa tuamini nao wanatuona wapuuzi hivyo hivyo kama msimamo wake ndio huu sidhani kama una sherehe yenye pombe umlete mc aliyeokokoka hanywi pombe katika historia yake yeye ni mtu wa biblia aje kwenye sherehe yako labda uwe ulikuwa una mpango kuja kuwaokoa watu kwenye sherehe hiyo sasa huyu jamaa kama huwa wanamkodisha shughuli za chama chao wajiangalie hizo lugha zake kama yeye ana uhuru wa kuwaita wanamtwara wapuuzi na sisi wanamtwara tuna uhuru wa kusema gesi ni yetu kibonde angalia usije kuwa adui wa 11 wa membe maana 10 tayari ameshawajuwa akishika uraisi hatakualika kama mc kwenye sherehe zao moto wa gesi acha tu huu sio wenyewe ni sawa na na moto wa lami wa magufufuli nakumbukuka watu wanaomgusga magufuli wenye wamenyoosha mikono kuanzia mtoto wa mkulima alijifanya anenda jimboni kwa magufuli leo sijamsikia tena akigusa moto wa lami (shughuli za mabarabara) :target:
 
Back
Top Bottom