Gabhiteka Manji
Senior Member
- Apr 6, 2012
- 141
- 44
Katika kipindi cha Jahazi (Clouds FM) cha jana 3/1/2013, nilishangazwa sana na hatua ya Bw.Kibonde kuwaita wakazi wa Mtwara ni "WAPUUZI".
Kwa kufanya hivyo, amevuka mipaka hata kama alikuwa na uhuru wa kutoa maoni yake. Kama mtangazaji hakupaswa kuchukua kuegemea upande wa serikali na kupuuza maoni ya wananchi, kwa namna yoyote ile huyu mtu amekiuka miiko ya utangazaji.
Ni jambo baya kutumia radio kukandamizakilio cha wengi kwa sababu tu yupo nyuma ya kipaza sauti. Ni bora waanzishe tafiti hata kwa njia ya kupiga simu au kutuma sms ili kusikia wananchi wanasemaje na si kuwatusi.