Kiboko ya sumaye

Kiboko ya sumaye

KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha

Sumaye anagombea Ubunge?
 
Hivi kwanini hatuoni ukawa wakianzisha viuzi vya hovyo hovyo hivi. Sumaye anagombea nini?
 
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha

Sumaye hajitambui kabisa.
 
Yaan anasema eti mi nimekuja kutoa maelekezo ya kuongoza serikali,wakat we haupo serikal ilikuwa inaongozwa na nani?na huko ulipokwenda kwani hakuna viongozi?na je una uhakika gani kama watashinda?Ziroooo kabisa
 
Lowasaa ndie.nyie mnajitekenya na kucheka wenyew
 
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha

Kwan bado mnahangaika na mr zero sumaye?
Kamshindwa mary
atamuweza john?
 
Yaan anasema eti mi nimekuja kutoa maelekezo ya kuongoza serikali,wakat we haupo serikal ilikuwa inaongozwa na nani?na huko ulipokwenda kwani hakuna viongozi?na je una uhakika gani kama watashinda?Ziroooo kabisa

Hahahahahahahahahahahahahah
Kawadharau sana wakina dj mbowe
Inamaana hakuna wakuongoza kule

hahahha

zeeeeeeeeeeroooooo
 
Mpaka sasa hajui yuko chama gani, anaenda tu kama punda
 
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha
UKAWA kwisha habari yao.
 
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha

Mr. Zero. .
 
Sumaye alisha.......... Umesahau ile habari kwenye magazeti kuwa UDADA na UKAKA wa Sumaye na Nagu tumeushitukia?

Nagu alipata msaada kutoka kwa WAKUBWA na Sumaye akatupwa. Usishangae Sumaye kuhama CCM.

Nina uhakika pia Pinda huko aliko anahesabu tu muda. PM mzima unaachwa kwenye TANO bora na Makamba anachukuliwa?
 
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha

Acha awachanechane kama anajidhalilisha wewe inakuuma nini?
 
Back
Top Bottom