Kiboko ya sumaye

Kiboko ya sumaye

Yaan anasema eti mi nimekuja kutoa maelekezo ya kuongoza serikali,wakat we haupo serikal ilikuwa inaongozwa na nani?na huko ulipokwenda kwani hakuna viongozi?na je una uhakika gani kama watashinda?Ziroooo kabisa

Sumaye n ndoroboo ya aina yake
 
Hizi ID za msimu kwa ajili ya kazi maalumu zinachekesha sana lol.
 
Sasa Kama Mh.Sumaye Ni Bogas Au Mr Zero!! Je, Yule Aliyemteua Awe Waziri Mkuu Kwa Miaka Yote 10 MFULULIZO, Akapimwe Akili ZAKE!!! Iweje Mtu Ambaye Ni Zero Brain!! Amteue Waziri Mkuu Wake!!!?? Kumbe CCM IMEFIKIA Hapo Kwa KUBEBA Watu Ambao HAWANA SIFA Wala VIGEZO!!! Kuwa Viongozi, Wakitofautiana Au Kutoka CCM!! Ndio Maneno Kibao!! Ndorooobai!!!
 
Sumaye WAAMBIE Kuwa Ww Ndiye Ambaye Uliificha Siri Ya Kiongozi Wao Mkuu Kutokuwa Na MKE!! Na Alivyo Mgombea Wao!! ALAFU Leo Wanapayuka HOVYO!! Sasa Kama Wamekuanza Wamalize Coz Watanzania Tunajua, Nini Kilitokea 1995!!!
 
sumaye ametekwa na EL, Gari yake ilikamatwa na meno ya tembo akajitetea kua ni mbinu za bwana EL kumzoofisha kisiasa, na amekili kua endapo EL Atachaguliwa kugombea urais yeye angehama cha ili kumkimbia, inamaanisha anamuogopa. iweje leo atembee nae kila mahari kumsafisha! na kuthubutu hata kumkashifu rais aliefanyanae kazi miaka 10 na kuwa waziri mkuu bora aliefanyakazi kwa vipindi vyote viwili.KWA MTAZAMO WANGU NAHISI KUNAVITU VIKUBWA ZAIDI BWANA EL ANAVIJUA KUHUSU SUMAYE NA LABDA ANGEKATAA KWENDA KUMSAIDIA BWANA EL ANGEFUMUA MENGI KUTOKA KWA SM.na ndio maana nasema mzee huyo atakua katekwa bila ya watu kujua.
 
sumaye ametekwa na EL, Gari yake ilikamatwa na meno ya tembo akajitetea kua ni mbinu za bwana EL kumzoofisha kisiasa, na amk
ekili kua endapo EL Atachaguliwa kugombea urais yeye angehama cha ili kumkimbia, inamaanisha anamuogopa. iweje leo atembee nae kila mahari kumsafisha! na kuthubutu hata kumkashifu rais aliefanyanae kazi miaka 10 na kuwa waziri mkuu bora aliefanyakazi kwa vipindi vyote viwili.KWA MTAZAMO WANGU NAHISI KUNAVITU VIKUBWA ZAIDI BWANA EL ANAVIJUA KUHUSU SUMAYE NA LABDA ANGEKATAA KWENDA KUMSAIDIA BWANA EL ANGEFUMUA MENGI KUTOKA KWA SM.na ndio maana nasema mzee huyo atakua katekwa bila ya watu kujua.
Upo swa wote wapiga dili tu
 
sumaye ametekwa na EL, Gari yake ilikamatwa na meno ya tembo akajitetea kua ni mbinu za bwana EL kumzoofisha kisiasa, na amekili kua endapo EL Atachaguliwa kugombea urais yeye angehama cha ili kumkimbia, inamaanisha anamuogopa. iweje leo atembee nae kila mahari kumsafisha! na kuthubutu hata kumkashifu rais aliefanyanae kazi miaka 10 na kuwa waziri mkuu bora aliefanyakazi kwa vipindi vyote viwili.KWA MTAZAMO WANGU NAHISI KUNAVITU VIKUBWA ZAIDI BWANA EL ANAVIJUA KUHUSU SUMAYE NA LABDA ANGEKATAA KWENDA KUMSAIDIA BWANA EL ANGEFUMUA MENGI KUTOKA KWA SM.na ndio maana nasema mzee huyo atakua katekwa bila ya watu kujua.

Unamaanisha sumaye aliona EL ni lazima atatwaa dola Ndo maana akajoin nae?
 
wanamwita mr zero halafu 24 hrs wako bize na hoja zake! Mbili na moja haziwezi kuwa sawa wala ndege tofauti hawaruki pamoja!
 
Sawa sumaye ni zero tumewaelewa,sawa sumaye hawezi mziki wa magufuli tumewaelewa,kwa hiyo mnataka nini? Tukutane oct 25 ndo mtajua u zero wa sumaye ulivyo.
 
Sumaye hagombei ubunge...!!!

SUMAYE kiboko ya KINANA...!!!

SUMAYE kasema wazi wazi tembo wote tanzania KINANA ndio jambazi mkuu.. hadi meli zake zinabeba pembe za NDovu....

Sumaye safiii sana, KINANA hapandi tena jukwaani...!!!

CCM out...!!
 
Uzii muuanzishee nyiee ili .m'comment nyiee wenyewe??

Sasaaaa naanzaa kuelewaa maana ya kujitekenyaa na kuchekaa mwenyewe
 
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha

Mary Nagu ni kiboko ya watu kama Sumaye
 
KIBOKO YA SUMAYE:
Kama sumaye tu anamshindwa Mary Nagu katika jimbo lao huko Hanang,kweli mziki wa Magufuli atauweza?Mi nafikiri angekaa kimya tu huyu jamaa maana anavyozidi kuongea kwa kumpigia deve lowasa ni kama anajidhalilisha

Wewe ndio tatizo. Siasa haina rafiki wa kudumu.
 
Njaa bana humfanya mtu akose maarifa ya kujitambua na kushabikia upepo haya sumayi anagombea nn na wapi, sumaye anawaumbua watafuna nchi tu .
 
Back
Top Bottom