Kibelaa

Vibelaaaaaaaaaaaa....... mmechakachua thread.... vibela mpo? Habari ya Asubuhi jamani?
 
Leo umeweza kutoa sauti kubwa, itakuwa apetite imerudi na umekunywa chai. Kweli au si kweli?


Ah ha hah hahah.... Ahsante kwa kunijali... jana nimeanza dozi ya mseto, mwili ni kamaumeishiwa nguvu hapa nimeshakata lita 2 na nusu za maji ya kunywa.... but naendelea vizuri. ila kichwa kinagonga kwa mbali though nilikunywa aspirin asubuhi!! umeamkaje?
 
Huwa naziogopa sana dawa mseto ingawaje sijawahi kuzitumia.,. Naimani zitakusaidia, kuishiwa nguvu ni jambo la kawaida.... Wewe ni mgonjwa mzuri manake unakunywa maji vizuri yatakusaidia mseto usikuchoshe sana! Upone upesi,..


Nimeamka salama na bado nipo salama..
 
Poa shem, kibela hajapita wala uwani kwangu hayupo! Unamtafuta?

simtafuti hata kidogo...nilijua unataka samaki wabichi umchemshie shem...nasikia supu yake inaimarisha ndoa eti...
 
Heee, umeshafika TZ??? We kweli ni noma haya upange tena safari ingine manake huezi kutulia.

tangu saa tatu asubuhi...pole umezoea tren na safari zake siku tatu...
 

Frankly nilikuwa sijawahi kuzitumia pia, though zinaonekana zina nguvu sana! hapa nimeshaanza kufikiria ku-call it a day!! kazi haziendi!
 
Frankly nilikuwa sijawahi kuzitumia pia, though zinaonekana zina nguvu sana! hapa nimeshaanza kufikiria ku-call it a day!! kazi haziendi!

hayo makitu sio poa kabsaa...ninaona wanaokunywa wote wanapata tabu mtupu!...nasikia metakefin za itally ni poa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…