Kibelaa

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
nime-fall inlove na hili tangazo all of the sudden!..
NB: SAUTI YAKE NI KAMA YA MWANA JF MMOJA HAPA...GUESS!
 
Nimeshindaaaaaaaaaaaa na a aaaavodaaaaaaaaaaaaaa million kumiiiiiiiiiiiiiii,kibelaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Huyo kibela me huwa namfananisha na Bujibuji,ingawa simjui kwa sura wala sauti.
 
Huyo kibela me huwa namfananisha na Bujibuji,ingawa simjui kwa sura wala sauti.

teheee!..kiukweli mm nahisi huyu ndo TIQO...LOL japo simfaham!
 
Ngoja namsubiri Rejao kwanza......
 
vip unamashaka aweza kuwa yeye??au ndo umemtaja kimafumbo sio?ila kweli ile pua inaweza kutoa sauti kama ile!

Rejao akija atasema neno tu hapo, halafu ila yule Mwenzake ni kama BAbu aspirin!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…