Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
- Thread starter
- #41
Nchi ni ardhi na mipaka yake, taifa ni watu wa nchi, hakuna taifa bila imani za watu wake.SHule hazina walimu wala madawati then anotokea mtanzania mmoja anaomba serikali iruhusu uvaaji wa vibaragashia shule, huyu ni mtanzania anayetarajiwa naye achangie kwenye dira ya taifa 2050, kama hii sio laana basa laana haina maana, tunawaza vitu virahisi rahisi sana, hii pia ndio aina ya fikira walizonazo viongozi wetu
Mataifa ambayo ni theocratic kuna nidhamu inayojenga heshima ya nchi na taifa, nchi za theocrasia zimepiga hatua kuliko nchi za kisekula hususan za Kiafrika e.g. Africa North of Sahara and the Middle East.
Hata Znz hapo tu, uchumi wake unakuwa kwa 7.1% bila rasilimali nyingi wakati Tz Bara ukuaji umekwama kwenye 6% aliyoacha Magufuli japo mikopo inakaribia kutokuwa himilivu.
Znz pragmatically ni theocratic japo theoretically ni secular.
Kuna agenda ambazo huwezi kuzipuuza lakini zinachagiza mustakabali wa nchi mfano, ni lini Mkristo atakuwa rais Znz?