Kudai katiba mpya ni kuzingua? CHADEMA hawana kosa lolote hapo zaidi ya nyinyi wanufaika wa uonevu kutengeneza fursa mpate kujinufaisha kupitia huu unyanyasaji kwa CHADEMARais Samia hajageuka, ni chadema ndio wamegeuka baada ya kuona mama hawanyenyekei kama walivyotarajia.
Rais aliahidi kukutana nao, wao wakataka wampangie tarehe ya kukutana, uliona wapi ujinga kama huo?
Walidhani kwa kuwa ni mpole, tofauti na Magufuli aliyekuwa mkali na mwenye misimamo isiyoyumba, basi wangetumia huo mwanya kumwendesha wanavyotaka. Matokeo yake wamekuta ni mpole lakini ana msimamo, ndo hapo wakaamua kulianzia: wakamzingua kwa kumpa ultimatums, akajibu mapigo, sasa ni kuzinguana tu.
Busara kubwa sana hii kiongozi!Being a President is tantamount to being a dustbin
It is not easy to maintain a clean file.
Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.
Duh wewe spana zako huwa hazina direction yaani leo unamnanga mama, ! Your favorite kabisa kabisa toka mwanzoView attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania [emoji1787].
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Kuna watu wanajitahidi sana kumtetea!
Mara wadai anashauriwa vibaya.
Mara waseme anahujumiwa na Sukuma Gang.
Yeye ndo Rais. The buck stops with her.
Excuses are the tools of the weak and incompetent. They build bridges to nowhere and tunnels to nothingness... Those who excel in them seldom do in anything else, therefore, there are no excuses.
Kumbe hata kuelewa nako ni shida 🤔🤔Kudai katiba mpya ni kuzingua? Chadema hawana kosa lolote hapo zaidi ya nyinyi wanufaika wa uonevu kutengeneza fursa mpate kujinufaisha kupitia huu unyanyasaji kwa chadema
Tumuunge mkono atuongoze vema. Kuongoza sio lelemama. Kuongoza watu Mil 60 sio kitu rahisi sababu unajaribu kuifurahisha familia fulani na wapambe wake. Watanzania watadai lililo bora.View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Uko sawa mkuu.Standard za Tanzania kwenye mambo mengi ni tofauti kabisa ni nchi nyingine zote dunia. Nadhani kuna mahali tulikosea kwenye elimu watu wakawa wanamaliza shule bila kuelimika. Japokuwa Internet nayo imesaidia ku-expose uwezo wetu kiakili lakini nina uhakika kabisa watu waliosoma enzi za kina Sinde Warioba wako tofauti kabisa. Tukio au maoni ya kawaida kabisa yanaweza kuonekana kama uvumbuzi mpya tena wenye thamani kubwa. Na viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe.
Sawa lakini hii ya kuita mtu “gaidi”imepita mipaka.Rais Samia hajageuka, ni chadema ndio wamegeuka baada ya kuona mama hawanyenyekei kama walivyotarajia.
Rais aliahidi kukutana nao, wao wakataka wampangie tarehe ya kukutana, uliona wapi ujinga kama huo?
Walidhani kwa kuwa ni mpole, tofauti na Magufuli aliyekuwa mkali na mwenye misimamo isiyoyumba, basi wangetumia huo mwanya kumwendesha wanavyotaka. Matokeo yake wamekuta ni mpole lakini ana msimamo, ndo hapo wakaamua kulianzia: wakamzingua kwa kumpa ultimatums, akajibu mapigo, sasa ni kuzinguana tu.
CCM inaponzwa na nani?Chadema inaponzwa na wapuuzi kama Tundu Lissu.
Kwa hiyo kama mtu kafanya ugaidi aonewe huruma kisa tu ni kiongozi wa upinzani? Kuwa seriousSawa lakini hii ya kuita mtu “gaidi”imepita mipaka.
Unajua watekaji au madikteta hawanaga ukomo, siku wakikufikia usije kulalamika humuGaidi Mbowe yupo chini ya ulinzi salama wa Polisi, nchi nzima imetulia hakuna matukio ya ajabu ajabu kama Uamsho walivyowekwa sehemu salama na Zenji ikatulia.
Being a President is tantamount to being a dustbin
It is not easy to maintain a clean file.
Samia should only do what she thinks is right and not what others thinks is right neither trying to impress anyone.
Hayo ni mawazo yako,na katiba na ubinadamu pia unakupa haki hiyo,lakini ukweli ni tofauti kabisa,na wala usifikirie haya yote hayaoni na hayasikii,lakini kumbuka ana facts zote mkononi mwake.View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standards za baadhi ya Watanzania [emoji1787].
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Nawe umeandika mawazo yako!Hayo ni mawazo yako,na katiba na ubinadamu pia unakupa haki hiyo,lakini ukweli ni tofauti kabisa,na wala usifikirie haya yote hayaoni na hayasikii,lakini kumbuka ana facts zote mkononi mwake.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standards za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Wawekezaji wanataka kuja kwa kuwa kuna Rais Mwanamke.
Blogs uchwara za watu wa nje ni za kupuuzwa.View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standards za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Inaponzwa na mafisadi papa kama JKCcm ina ponzwa na nani?
Inaonekana unaakili kidogo hasa kwenye nyekundu. Baada ya hapo dishi limeyumba, nenda hospitali.Kabla hujaona ya cdm yatazame ya ccm kwani huko kumejaa uozo na kumeoza! Hiyo taasisi ya urais imevamiwa na wasaka vyeo pamoja na mafisadi! Hilo kwako siyo tatizo Bali cdm ndio kichaka Cha kujificha ili uachie kimba linalokubana! Amka na acha kuimba mapambio yaliyopitwa na wakati kwani wote tunaumia!
Mbona mamako anazikalia saana tu na hazijamzuru.Wewe unastahili ukalie chupa ya Soda ikiwa na mfuniko wake