Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,914
- 141,713
Wawekezaji wanataka kuja kwa kuwa kuna Rais Mwanamke."Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike" ..
Maybe Projecting her inner insecuritiesShe didn’t need to say that! We knew it already.
Hapo ndo umegonga penyewe kabisa!Tukio au maoni ya kawaida kabisa yanaweza kuonekana kama uvumbuzi mpya tena wenye thamani kubwa. Na viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe.
Kuna watu wanajitahidi sana kumtetea!Mimi nahisi amefungiwa nje ya ofisi ya Urais...
Baadhi ya haya maamuzi na matokeo yake tunayoyaona sasa, mtu hawezi kuamini kuwa yanatoka au yana baraka za mwanamke huyu ambaye miezi mitatu iliyopita alionekana kama vile ni mkombozi wa taifa hili...
Kuna mtu anasema nchi iko kwenye auto pilot. Labda sasa ni wakati wa kuamini haya. Kuna watu wanatumia mamlaka na madaraka yake vibaya bila yeye kujua...
Nasikia kwa sasa sijui yuko ziarani Rwanda ama sijui Angola anakula bata wakati huku nchini kwake kukiwa kunafukuta moshi wa moto...
Shauri lake, akizubaa kidogo tu, hawa walioteka mamlaka yake ya maamuzi ya Kiraisi, watampindua puuh...!!!!!
Hafiki 2025Alikuwa honey moon naye akavimba kichwa! Sasa atapigwa spana mpaka aachwe kama ilivyo ada!
Wana mitusi hao waliokuwa wanamshangilia. Shida walidhani na waliamini wanapambana na mtu, JPM, wakati tatizo ni mfumo. Baada ya kutoka honeymoon sasa wameanza tena mitusi yao hawakumbuki kuwa Bi. Mkubwa alisema yeye na JPM ni kitu kimoja, kwa tafsiri yangu, wote wanatenda kwa mujibu wa mfumo uliopo.View attachment 1867792
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na kimataifa, kwa kutumia uzoefu wetu huo, tulijua tu kuwa haitochukua muda kwa zile sifa alizokuwa anapewa kugeuka kuwa lawama.
Yaani alikuwa hadi anapewa sifa za uongo [mfano ni kuongea Kiingereza kizuri kilichonyooka. Ukweli ni kwamba Kiingereza chake si kizuri na hakijanyooka. Hana tu lafudhi nzito].
Kuna sehemu niliona watu wakimuita eti ni ‘genius’ kwa vile tu alikuwa anaongea kiupole bila kufokea na alivyosema watu wasibambikiwe kesi!
Hizo ndo standard za baadhi ya Watanzania 🤣.
No wonder tupo kwenye hali tuliyonayo.
Duh! Hapo na wewe umeshangia mada?Chadema inaponzwa na wapuuzi kama Tundu Lissu.